Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?

Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?

Hatuwezi kutema kama tulicholishwa ni kitu kisichofaa? Hao waasisi hawapo tena na mazingira tuliyomo ni tofauti sana na wakati wao.
Sijasema hakifai/kinafaa la hasha! Bali vimeshapita vizazi kadhaa na hii kitu tumeikuta na tumeambiwa ndio inavotakiwa kua .
 
Kama kuna watu wenye uthubutu wa kulijadili hili, kwa maoni yangu wangeanza kwa kuzichambua faida zilizopatikana kwa kuvunja tawala za machifu zilizokuwepo kabla ya ukoloni na mahali pake kuunda nchi moja Tanganyika.🤔🥱🤫
Kumbe kabla ya kuvunjwa tawala za machifu Tanganyika kulikuwa na nchi ngapi? Tulifundishwa kwenye historia kuwa nchi ilikuwa moja hiyo Tanganyika chini ya Gavana!
 
Nipo Kyela kwa sasa. Huku hatujaipata hiyo ripoti.
huko hakuna mitandao km Jamii Forum mkapata hizo taarifa za CAG kuwa tumepigwa
utakuwa Mnyakyusa wewe kweli, unajua upo Malawi au Nyasaland na km sio juhudi za waasisi kutumia nguvu mlishakabidhiwa kwa Banda bila kujijua.
sasa wenzenu walishavamiwa na muarabu akaja jitwalia kisiwa akisema hakina watu akagawana na nduguye wa Oman, kwa hiyo tuache tu wapore basi na wanyakyusa bora muende Nyasa km chimbuko la Historia hamuijui au mipaka ya Berlin
Kumbuka kundi la G 55 lilianzishwa na kabila gani wakidai Tanganyika na kuiacha Unguja na Pemba
na ndiko tunakoelekea Gagnija
 
Karume aliingia cha kike mwenyewe kwa uoga wake. Kwanza, mzee karume hakushiriki kwenye mapinduzi. Walioshiriki ni vijana wa UMMA Part wa Babu wakishirikiana na wale wa ZPPP. Wakati wa mapinduzi Karume alokuwa Dsm Alikokwenda kumwaona mzee Mchonga. Ndio maana ukiangalia ile picha ya viongozi wa mapinduzi mzee karume hayupo. Baada ya mapinduzi, 12/01/1964 Mzee mchonga akatuma jeshi kulinda amani, na mpaka leo bado lipo.

Miezi mitatu baadae, Mchonga akaanza kumbana Karumekenge. Akimtaka waungane. Karumekenge akikataa, Mchonga anamtishia kuwa anaondoa jeshi lake na wakati huo hali ilikuwa bada haijatulia vizuri.
Akazidi kumbana mpaka wakaunganisha zenji na bara.

Faida ya muungano, kwa kweli hazipo kabisa. Labda wanajua waasisi wa muungano huu wa aina yake duniani.

Jaribuni kumsoma mwandishi nguli anayeijua zanzibar kiundani mzee Joseph Mihangwa. Anayeandikia gazeti la Raia mwema.
 
Tanzania bara inafaidika kodi na ajira kutoka kwa wafanyabiashara wapemba wakiwemo akina bakhresa nk

Kwenye sekta binafsi wapemba ndio huongoza kuingizia Tanzania bara kodi
 
huko hakuna mitandao km Jamii Forum mkapata hizo taarifa za CAG kuwa tumepigwa
utakuwa Mnyakyusa wewe kweli, unajua upo Malawi au Nyasaland na km sio juhudi za waasisi kutumia nguvu mlishakabidhiwa kwa Banda bila kujijua.
sasa wenzenu walishavamiwa na muarabu akaja jitwalia kisiwa akisema hakina watu akagawana na nduguye wa Oman, kwa hiyo tuache tu wapore basi na wanyakyusa bora muende Nyasa km chimbuko la Historia hamuijui au mipaka ya Berlin
Kumbuka kundi la G 55 lilianzishwa na kabila gani wakidai Tanganyika na kuiacha Unguja na Pemba
na ndiko tunakoelekea Gagnija
Hujanisaidia. Niliomba kufahamishwa manufaa yaliyopatikana kwa Tanganyika tangu tuungane ambayo bila muungano yasingepatikana.
 
Walichokiona waasisi wetu kwakweli mimi sijakiona,Naona kama tulimezeshwa tu...
Hata mim sijawahi ona hayo manufaa nionacho mimi upande mmoja ndio unanufaika kuliko mwingine, na sijui kwanini hawakuweka huo usawa, ilitakiwa wabunge wa bara nao waende zanzibar, mawaziri wa bara nao waende zanzibar.
 
Tanzania bara inafaidika kodi na ajira kutoka kwa wafanyabiashara wapemba wakiwemo akina bakhresa nk

Kwenye sekta binafsi wapemba ndio huongoza kuingizia Tanzania bara kodi
Bila muungano pengine tungepata zaidi ya hiyo kodi toka kwa hao wapemba maana wangelipia hata vibali vya ukaazi, au?!
 
Tanzania bara inafaidika kodi na ajira kutoka kwa wafanyabiashara wapemba wakiwemo akina bakhresa nk

Kwenye sekta binafsi wapemba ndio huongoza kuingizia Tanzania bara kodi
Wapemba walivyowengi bara sidhani kama wabara wanaruhusiwa kuwa hivyo huko Zanzibar
 
faida ya muungano ni wazanzibar kununua ardhi tanzania bara kila sehemu na kujenga majumba ya kifahari na maduka makubwa ila watanganyika ( au watanzania bara )hawaruhusiwi kununua ardhi zanzibar hiyo ndio faida
 
Tanzania bara inafaidika kodi na ajira kutoka kwa wafanyabiashara wapemba wakiwemo akina bakhresa nk

Kwenye sekta binafsi wapemba ndio huongoza kuingizia Tanzania bara kodi
Aiseeh. Humo mwenu akili zenu mnazijua ninyi wenyewe . Kwa hiyo tunawakalia ili tupate kodi zao ?!. Kwani hawawezi kutoa kodi kama wawekezaji wengine ambao ni foreigners wakiwa huru.

Huu muungano una faida kwa wanasiasa watawala na si vinginevyo

Odhis *
 
Wapemba walivyowengi bara sidhani kama wabara wanaruhusiwa kuwa hivyo huko Zanzibar
Wanaingizia uchumi.nchi kuliko watu wa bara Sasa mtu wa bara ukienda zanzibar utafanya nini cha maana cha kuukuza uchumi wa Zanzibar?

Bara tunawaruhusu wajazanevsababu wana add value kubwa kwenye uchumi wa Tanzania bara kiasi kuwa tuko tayari hata wazanzibari wote wakitaka wahamie Tanzania bara.sababu ni wafanyabiashara na walipa kodi wakubwa.Sasa Chukulia mfano Lisu unamruhusu aende kuishi Zanzibar ana nini cha maana cha kuongeza kwenye uchumi wa Zanzibar zaidi ya mikelele tu?
 
faida ya tatu wazanzibar wana roho mbaya sana tena sana tena sana mimi ni mtanzania mwenye asili ya kiarabu nimezaliwa tanzania bara na ni muislamu ninawajua hawa ni majirani zangu daressalaam roho zao kama mashetani wafukuzwe wote
 
Hujanisaidia. Niliomba kufahamishwa manufaa yaliyopatikana kwa Tanganyika tangu tuungane ambayo bila muungano yasingepatikana.
sababu kubwa ya muungano kwa kipindi kile ilikuwa ni usalama. Nyerere aliogopa anaweza kupinduliwa kwa kutokea Zanzibar, ndio akalazimisha awe na muungano ili kuweka sawa usalama wa serekali yake. Ndio kusema kama tusingeungana na zanzibar labda nyerere asingefika alipofika katika kutawala.
 
faida ya tatu wazanzibar wana roho mbaya sana tena sana tena sana mimi ni mtanzania mwenye asili ya kiarabu nimezaliwa tanzania bara na ni muislamu ninawajua hawa ni majirani zangu daressalaam roho zao kama mashetani wafukuzwe wote
wewe nawe muhuni tu, kama wazanzibari wana roho mbaya kama usemavyo, hebu mfananishe mama na jiwe.
 
Back
Top Bottom