Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ina Rais kutoka Pemba.Tarehe 26 mwezi huu tunaadhimisha miaka 57 ya muungano. Miaka 57 ni umri wa mtu anayekwenda kustaafu, kama ni mtumishi.
Naomba wanaofahamu manufaa yaliyopatikana kwa Tanganyika, ambayo pengine bila kuungana yasingepatikana wanijulishe na mimi niweze kuyafahamu.