Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?

Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?

Tarehe 26 mwezi huu tunaadhimisha miaka 57 ya muungano. Miaka 57 ni umri wa mtu anayekwenda kustaafu, kama ni mtumishi.

Naomba wanaofahamu manufaa yaliyopatikana kwa Tanganyika, ambayo pengine bila kuungana yasingepatikana wanijulishe na mimi niweze kuyafahamu.
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ina Rais kutoka Pemba.
 
Ndo Maana Mliambiwa muende shule!!!! Haya mambo yako primary mpaka sekondary!!!

Zifuatazo ni faida za muungano!!
1~Ajira zinapatikana kwa kila upande.....ispokuwa baadhi tu!!! ....

2~Uhuru wa biashara!!!! Kwa kila pande....na kuchangamana:

3~Kuingia pande zote bila passport wala vibar!!!....

4" kuimalisha uwezo wa kijeshi kwa pande zote!!!

....haya ni machache tuu yako meng!!!!!!!!!!.....
Mpka Rais aliyepo sahiz Tz na yule wa Znz Ni Matunda ya muungano:
 
Muungano una faida kubwa nyingi kwa bara kuliko zanzibar, kwanza ukivunjika ieleweke tutakuwa na ukanda wa bahari mdogo sana maana nasikia beach yote ya bahari ni mali ya zanzibar, pili ki uchumi zanziba ikiwa nchi biashara zote zitafanyika kupitia zanzibar hivo badari zetu zote zitakufa kifo cha mende maana zenj itakuwa free port
 
Tarehe 26 mwezi huu tunaadhimisha miaka 57 ya muungano. Miaka 57 ni umri wa mtu anayekwenda kustaafu, kama ni mtumishi.

Naomba wanaofahamu manufaa yaliyopatikana kwa Tanganyika, ambayo pengine bila kuungana yasingepatikana wanijulishe na mimi niweze kuyafahamu.
Mpigie simu Nyerere au Karume, watakujibu au hata meceji
 
Haya yanatoka wapi tena jamani, faida nyingine viongozi wa Kizanzibar na kutoka Pwani wana utu sana.
 
Muungano una faida kubwa nyingi kwa bara kuliko zanzibar, kwanza ukivunjika ieleweke tutakuwa na ukanda wa bahari mdogo sana maana nasikia beach yote ya bahari ni mali ya zanzibar, pili ki uchumi zanziba ikiwa nchi biashara zote zitafanyika kupitia zanzibar hivo badari zetu zote zitakufa kifo cha mende maana zenj itakuwa free port
Hayo umesikia kwa nani?!
 
Tarehe 26 mwezi huu tunaadhimisha miaka 57 ya muungano. Miaka 57 ni umri wa mtu anayekwenda kustaafu, kama ni mtumishi.

Naomba wanaofahamu manufaa yaliyopatikana kwa Tanganyika, ambayo pengine bila kuungana yasingepatikana wanijulishe na mimi niweze kuyafahamu.
Diffusion of cold war after the world war ll
 
Tarehe 26 mwezi huu tunaadhimisha miaka 57 ya muungano. Miaka 57 ni umri wa mtu anayekwenda kustaafu, kama ni mtumishi.

Naomba wanaofahamu manufaa yaliyopatikana kwa Tanganyika, ambayo pengine bila kuungana yasingepatikana wanijulishe na mimi niweze kuyafahamu.
Watanzania tumefikia kipindi kigumu kwa Muungano. Nakumbuka angako la USSR lilivyoanza. Baada ya Gobashev kuwa rais wa USSR alianza kugeuka misingi yote ya awali. Nakumbuka mwaka 1989 tukiwa pale Kremlin alihutubia kongamano letu kwa saa nzima kuhusu mageuzi. Alianza na perestroika na glasnots ambavyo navilinganisha na fungua vyombo vya habari bila kujali vilifungiwa kwa sababu gani. Urusi ile kuu (USSR) Ikawaka moto kwa uhuru usio na mipaka. Watu wakahoji umuhimu wa muungano wa soviet Gobashev akasema ni haki ya kimsingi. Latvia na Lithueni zikaomba kujitoa USSR mwishowe ruksa. Sasa tumefika pale pale pa USSR. Naona uoga mno na hali hii. Kwa herini ndugu zangu.
 
faida ya muungano ni wazanzibar kununua ardhi tanzania bara kila sehemu na kujenga majumba ya kifahari na maduka makubwa ila watanganyika ( au watanzania bara )hawaruhusiwi kununua ardhi zanzibar hiyo ndio faida
Unaumwa siyo bure jirani wangu wa siku nyingi "Mluguru pure" anaishi kwake ,hajapanga kwa mtu.
 
Muungano ulifanyika kumzuia Sultan kurudi Visiwani hata akipata msaada wa kijeshi kutoka Oman. Hili limefanikiwa lakini aliyelifanikisha amewaacha Wangazija na Wapemba umasikini mkubwa.

Kiuchumi Sultani angekuwepo sasa hivi Visiwa vingekua kama Dubai.
Wangazija? -Waunguja.
 
Binafsi sijui nini faida watanganyika wanapata kutokana na Muungano. Nafikiri ili lingewekwa wazi ili watanzania wote tuchambue na mwisho tuamue Kama Muungano uendelee au hukome.

Ama Kama unaendelea uwe na mfumo upi kuliko wa Sasa. Kimsingi tunahitaji mjadala wa kitaifa kuhusu Jambo hili kwa kina zaidi kwa maslahi mapana ya pande zote za Muungano.
 
Kubwa kuliko yote ni kuweza kutupatia waokozi wa uchumi wetu pale inapotokea watanganyika tumeuharibu. Mwinyi alituokoa na Mama sasa hivi anatuokoa. Nani angefikiria kama Bar zingeanza kujaa tena kama zamani.
 
Back
Top Bottom