Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ina Rais kutoka Pemba.Tarehe 26 mwezi huu tunaadhimisha miaka 57 ya muungano. Miaka 57 ni umri wa mtu anayekwenda kustaafu, kama ni mtumishi.
Naomba wanaofahamu manufaa yaliyopatikana kwa Tanganyika, ambayo pengine bila kuungana yasingepatikana wanijulishe na mimi niweze kuyafahamu.
mchinaWapemba wanachangia kodi kuliko Wahindi? Ile Kariakoo tukiondoka wahindi nani anabaki
NdioWapemba wanachangia kodi kuliko Wahindi?
Kwahiyo mchina ni mpemba?mchina
soma tena swali lako mwenyewe uliloulizaKwahiyo mchina ni mpemba?
Mpigie simu Nyerere au Karume, watakujibu au hata mecejiTarehe 26 mwezi huu tunaadhimisha miaka 57 ya muungano. Miaka 57 ni umri wa mtu anayekwenda kustaafu, kama ni mtumishi.
Naomba wanaofahamu manufaa yaliyopatikana kwa Tanganyika, ambayo pengine bila kuungana yasingepatikana wanijulishe na mimi niweze kuyafahamu.
Hayo umesikia kwa nani?!Muungano una faida kubwa nyingi kwa bara kuliko zanzibar, kwanza ukivunjika ieleweke tutakuwa na ukanda wa bahari mdogo sana maana nasikia beach yote ya bahari ni mali ya zanzibar, pili ki uchumi zanziba ikiwa nchi biashara zote zitafanyika kupitia zanzibar hivo badari zetu zote zitakufa kifo cha mende maana zenj itakuwa free port
Labda hujaelewa kilichoulizwa. Isome tena post uliyojibu.Mpigie simu Nyerere au Karume, watakujibu au hata meceji
Diffusion of cold war after the world war llTarehe 26 mwezi huu tunaadhimisha miaka 57 ya muungano. Miaka 57 ni umri wa mtu anayekwenda kustaafu, kama ni mtumishi.
Naomba wanaofahamu manufaa yaliyopatikana kwa Tanganyika, ambayo pengine bila kuungana yasingepatikana wanijulishe na mimi niweze kuyafahamu.
A fair comment at least.Diffusion of cold war after the world war ll
KwaniniA fair comment at least.
Watanzania tumefikia kipindi kigumu kwa Muungano. Nakumbuka angako la USSR lilivyoanza. Baada ya Gobashev kuwa rais wa USSR alianza kugeuka misingi yote ya awali. Nakumbuka mwaka 1989 tukiwa pale Kremlin alihutubia kongamano letu kwa saa nzima kuhusu mageuzi. Alianza na perestroika na glasnots ambavyo navilinganisha na fungua vyombo vya habari bila kujali vilifungiwa kwa sababu gani. Urusi ile kuu (USSR) Ikawaka moto kwa uhuru usio na mipaka. Watu wakahoji umuhimu wa muungano wa soviet Gobashev akasema ni haki ya kimsingi. Latvia na Lithueni zikaomba kujitoa USSR mwishowe ruksa. Sasa tumefika pale pale pa USSR. Naona uoga mno na hali hii. Kwa herini ndugu zangu.Tarehe 26 mwezi huu tunaadhimisha miaka 57 ya muungano. Miaka 57 ni umri wa mtu anayekwenda kustaafu, kama ni mtumishi.
Naomba wanaofahamu manufaa yaliyopatikana kwa Tanganyika, ambayo pengine bila kuungana yasingepatikana wanijulishe na mimi niweze kuyafahamu.
Unaumwa siyo bure jirani wangu wa siku nyingi "Mluguru pure" anaishi kwake ,hajapanga kwa mtu.faida ya muungano ni wazanzibar kununua ardhi tanzania bara kila sehemu na kujenga majumba ya kifahari na maduka makubwa ila watanganyika ( au watanzania bara )hawaruhusiwi kununua ardhi zanzibar hiyo ndio faida
Wangazija? -Waunguja.Muungano ulifanyika kumzuia Sultan kurudi Visiwani hata akipata msaada wa kijeshi kutoka Oman. Hili limefanikiwa lakini aliyelifanikisha amewaacha Wangazija na Wapemba umasikini mkubwa.
Kiuchumi Sultani angekuwepo sasa hivi Visiwa vingekua kama Dubai.