Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?

Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?

[FONT=&]Kufufuka kwa Yesu Kristo ni moja ya mambo ambayo yamekuwa ni chanzo cha mjadala dunia nzima. Dini nyingine zimedai kuwa Yesu hakufa na hivyo [/FONT][FONT=&]kumaanisha hakufufuka. Wanazuoni wengine wamejaribu kuhusianisha kufa na kufufuka kwa Yesu Kristo kama mwendelezo wa imani za kipagani zilizokuwapo kabla ya ukristo, na mengine mengi, kadha wa kadha.[/FONT]
[FONT=&]kwa kuwa waznz wengi sio wakiristo ni waislam. lkn tumesikia wakishiriki kwa aina moja ya kusherehekea na wakiristo wa tzbara hasa ktk maswala ya michezo zaidi.[/FONT]
[FONT=&]leo hii mamia ya wakiristo wanaelekea zenj kuungana na waislam kusherehekea pasaka.baadhi ya taasisi za umma hutenga fedha kwa kuwaalika ndugu zao au kwenda wao znz[/FONT]
[FONT=&]lkn kwa bahati sijasikia ikifanyika pemba. au waznz ambao husherehekea maulid huwaacha ndugu zao wa dini tofauti kuchanganya ili kusherehekea.[/FONT]
[FONT=&]jee ni kero mpya ya muungano?[/FONT]
 
masuala ya dini na muungano wapi na wapi. mbona Babu wa lotiondo-mchungaji kawaambia amefunuliwa na mungu na watu wanakwenda tu bila kujali dini zao? acha uzushi
 
masuala ya dini na muungano wapi na wapi. mbona Babu wa lotiondo-mchungaji kawaambia amefunuliwa na mungu na watu wanakwenda tu bila kujali dini zao? acha uzushi

hivi kuna haja gani ya kushirikiana ktk maswala ya dini?
 
Hata bara kuna waislamu wengi, na wanakula Pasaka pamoja na jamaa zao wa Kikristo....sidhani kama tunaweza kuhusianisha kila kitu na Muungano japo of course kuna some implications maana wengi wa Island ni waislamu....but pasaka is not the only Festival ambayo hujumuisha wakristo na waislamu....hata Krismas na Iddi pia wakristo hula na Waislamu. Mimi nyumbani kwangu Pasaka hii nina marafiki na ndugu wengi tu Waislamu tutakula pamoja and we never had an issue....tuangalie sana tusiingize udini in every aspect....
 
maulid na iddi kama ilivyo pasaka :hutembeleana unguja na bara?
 
maulid na iddi kama ilivyo pasaka :hutembeleana unguja na bara?

Mkuu, kwanza inabidi tuangalie haya mambo kiundani. MAULIDI YA MUHAM-MAD haipo kwenye KORAN. Hivyo, basi, kulinganisha na kufafanisha MAULID na PASAKA ni bayana tu.

Kwanza lazina tuangalie ukweli wa haya mambo. Je, MAULID iliruhusiwa na ALLAH? Kama kipo kitu kama MAULIDI, basi leteni aya kutoka KORAN kusaidia hiyo MAULIDI BANDIA.

Pili, JE, ni kweli YESU alikufa msalbani? KITABU PEKEE kinacho weza jibu hili ni BIBLIA YA WAKRISTO. Koran haiwezi jibu hapa kwasababu ilitungwa miaka zaidi ya MIA 630 baada ya YESU na si kitabu kinacho tambulika na kukubalika na wakristo. KOLANI NI BANDIA ndio maana ALLAH akaamua kutunga na kuruhusu HADEETH za MAREHEMU MWAMADI.

Mwisho, Yesu alikufa na akafufuka. Kama kuna mtu anabisha, leteni ushaidi kutoka BIBLIA YA WAKRISTO.
 
Mi con jipya la kujivunia 2na muungano,wazanzibari hawatak muungano bt 2nawalazimisha kwn zanzibar ni nchi inayotambulika.ina raisi,mahakama na bunge pia inakatiba yake iweje tanganyika hatuna katiba yetu ya tanganyika ndo 2je 2we na katiba ya jamhuri,mi naona ifike kipindi 2we na selikali 3, au vinginevyo 2vunje muungano wadau mnalijadili vip hili?
 
uvunjike tu ili tupate tanganyika yetu iliyopotea.
 
Eti bado mpaka leo wa tz 2nalazmishwa kuwa na muungano wakati hauna maslah yoyote,naona itakua poa km kwny katiba zbar wakatae muungano coz wao ndo tayar wananch yao alaf cc 2nawalazmisha,bora ufutwe 2 muungano 2bakie nchi ya tz na katiba ya tz c ya muungano wakati wa2 2mechaka muungano.
 
Kuna watu uelewa wao unatia mashaka.

Swali lingine, majibu mengine, wala aviringani.
 
Nyinyi mambo ya Zanzibar au tuseme ya Unguja na Pemba yanawahusu nini?

Kwanini hamushughulikii matatizo yenu kwanza huko bara mkayamaliza?

Ya Wazanzibari waachieni wenyewe au ndio mnatuonyesha kwamba nyie ndio Watawala na Zanzibar ni Koloni lenu.

Kabla ya kuleta hoja ukumbini, fanyeni utafiti wa chanzo cha madai yao hao watu.

Hii habari ni ya zamani, chunguza sababu na yaliishia vipi sio kuendekeza fitna tu miongoni mwa Wazanzibari kwa maslahi yenu.

Hata mfanye nini Zanzibar bila ya Tanzania/Tanganyika inawezekana.
 
Pole sana ngudu yangu Makaimati; Naomba niulize, Tanzania ni nini? Kama Tanzania ndo inaifunika Zanzibar ,je Tanganyika iko wapi? Hivi je,ingekuwepo Tanganyika na Tanzania bila ya zanzibar leo hii ungesema nini? Leo zanzibar ina hadi rais na bendera.mbona tanganyika haina na watu wake wako kimya? Kumbuka unaposema Tanzania usidhani unamaanisha Tanganyika.Tafakari ni nani alipaswa kulalamika.................
 
Endapo habari hii ni ya kweli, kwamba ipo barua ya namna hiyo, basi ninaona hizo ni siasa za kipropaganda za kuwatega wale wanaohoji muungano wa Zanzibar na Tanganyika kwa nguvu sasa hivi. Hilo la Wazanzibari kuanza kuhoji umoja wao, kama wao, haliwezi kuanza sasa kwa sababu wanauhitaji umoja huo ili kuhoji muungano na bara.

Dada/Kaka Tina, hilo linawezekana sana, kwa mwenendo wa sasa ulivyo "WaPemba" wanawaona WaUnguja ni kikwazo kikubwa kwa wao (Wazanzibar kujitenga) kwa hiyo ili kufanikisha nia yao ni mlazima kwanza waitenge Unguja ili wao waweze kujitenga kwa presha wa Wapemba na Waaarabu walio Oman na kwingineko
 
Madai haya yalitokea kweli siku za nyuma.
Wazee wapemba walifikia uamuzi huu na kuupeleka maombi yao ofisi za UN Dar.

Hii ilitokea wakati hule Unguja ikiburuzwa na Muungano ambapo Wapemba hawakuukubali muungano huu feki tokea kuanziswha kwake.
Madai haya yalikuja kwa malengo mawili moja Wapemba kushirikiswa serekalini(smz) na jengine kubwa ni Zanzibar kusimama pamoja kudai haki zao katika Muungano.
Madai yote hayo mawili yalikubaliwa na watu wa UNGUJA na hapo madai ya Wapemba yalikufa,na hadi naandika habari hii ZANZIBAR hakuna tena habari ya Muunguja na Mpemba Bali kuna WAZANZIBARI tu.

Wote hao (Wazanzibari) madai yao sasa yanaelekea kudai haki zao katika muungano wa Tanganyika na Zanzibar kama nchi mbili zilizoungana.
 
Wazanzibari wameiandikia barua Umoja wa Mataifa na kutaka kumshitaki Mwanasheria Mkuu juu ya uhalali wa Muungano wa Unguja na Pemba. Katika barua yao, wanahoji kuwepo kwa mkataba wowote kati ya visiwa hivyo viwili-SOURCE RADIO1

Hata hawajavunja bado huu wa Tanganyika na Zanzibar sasa wemeshaanza Pemba na Unguja? Itakula kwao hadi watafika hatua watoto watawaambia wazazi wao waachane kwa sababu watoto hao hawakuwepo wakati wazazi hao wanaoana.
 
Wao kama wanatengana ngoja watengane tu-il wajue na sisi tutawatenga-huyo atakaekuja kuona kuwa kuna haja ya kuungana na tanganyika ataleta maombi ambapo tutampa terms zetu-akizikubali-fine-tutaenda nae
Hao wanaoishi pwani hawawezi kamwe kutushinda sisi wa bara
 
Wakati nchi zilizoendelea zinaungana,nchi zinazoendelea zinatengana! Kweli ya mkwezi yake mbili
 
Jeshi liko teyari kutinga zenji, endapo kisiwa chetu cha tanzania kitajaribu kujinyofoa, tumekigharimia kwa jasho kubwa tangu kuwafukuza waarabu, kwa hiyo kazi ilifanywa na wabara, kwa mzenji original tokea utumwa mwarabu alikuwa mungu wao, mpaka leo utumwa umebaki kichwani, nia ya wengi ni warudi waarabu.
Lakini suluhisho sio jeshi, iundwe serikali ya tanganyika, ili tuwa na states 2, vijinchi viwili ya zanzibar na tanganyika, serikali hizi zisihusiene sana kindugu katika mambo ya biashara ili kila mtu aone nafasi yake kujifanyia mambo, kibiashara, nishati, utamaduni, polisi na tutakua na rais mkuu wa muungano, mwenye wizara chache tu, kama ulinzi, fedha na mambo ya nje. Shida kidogo kwa znz ni umeme, itabidi kabla hawajapata mafuta wanunue mafuta toka serikali ya tanganyika ambayo itauza kama kuuza nje ya nchi kwa bei kubwa, garama ya maisha itapanda.
 
Back
Top Bottom