ngome1838
JF-Expert Member
- Feb 20, 2019
- 2,027
- 2,490
Wew ndo hujaelewa nilichoandikaLabda hujaelewa kilichoulizwa. Isome tena post uliyojibu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wew ndo hujaelewa nilichoandikaLabda hujaelewa kilichoulizwa. Isome tena post uliyojibu.
Nilichokigundua katika umri wangu huu ni kwamba epuka Miungano ya Kiafrika kwa gharama zote.
Miungano ya kiafrika huwa ni vurugu tupu na ukiamua kuondoka kwenye Muungano inakuwa ni Vita na mauaji makubwa.
Mfano mzuri Muungano huu wa hapa ni kumezana na kufanyana Makoloni badala ya Muungano wa haki.
Angalia Muungano wa Senegambia tena wale Wagambia walikuwa na bahati walishtuka mapema.
Angalia Muungano wa Somalia mpaka damu imemwagika mno ndio wakaachana.
Hizi jumuiya ziishie kuwa jumuiya laa sivyo tukisema tuungane Kenya itatumeza na kutufanya koloni la wavuta bange
Mimi huwa nasema kila mtu akae na kwake turuhusu muingiliano wa Waafrika ikibidi tuunganishe hadi fedha ila kila mmoja abaki na jeshi lake.
Fedha moja,Paspoti Moja,Forodha Moja hapo sawa ila sio zaidi
Ile Model yetu ya kuishi pamoja bila ya kuungana ilikuwa ni bora sanaHehehe kwa akili zako hizi fahamu hata humo Tanzania ni muungano wa makabila, mkoloni mzungu alikuja akaunganisha makabila na kubuni kitu kinaitwa taifa....
Ile Model yetu ya kuishi pamoja bila ya kuungana ilikuwa ni bora sana
Tuyaache hayo ya Mkoloni tuongelee hii Miungano ya Kiafrika.Hehehe hapana bana, tulikua tunanyukana sana na kuibiana ng'ombe, bora hivyo mkoloni alikuja akaunganisha Wasukuma na Wazaramo na kuwaambia wajiite Watanzania, akaja huku Kenya na kuwaamrisha Wakikuyu na Wasomali wajiite Wakenya.
Tanganyika ni jina lililobuniwa na wajeremani baada ya kwanza kuuziwa maeneo ya pwani kule Bagamoyo na Tanga. Baada ya kuingia bara ambapo baadhi ya maeneo yaliyokuwa chini ya utawala imara wa machifu walipata upinzani lakini kule kulikokuwa dhaifu walijitwalia na kuwa na maeneo makuu mawili ya Tanga ukanda wa pwani na maeneo ya bara hadi kufikia ziwa Tanganyika eneo lililo kuwa nyika na mapori. Waingereza ndio walioanzisha utawala huo wa magavana baada ya kuwashinda wajeremani na kuliteka hili eneo kama Tanganyika, lakini kabla ya hapo kila eneo kwenye kila kabila walikuwa na utawala wao chini ya watemi wami na machifu.Kumbe kabla ya kuvunjwa tawala za machifu Tanganyika kulikuwa na nchi ngapi? Tulifundishwa kwenye historia kuwa nchi ilikuwa moja hiyo Tanganyika chini ya Gavana!
Tuyaache hayo ya Mkoloni tuongelee hii Miungano ya Kiafrika.
Nilichokigundua katika umri wangu huu ni kwamba epuka Miungano ya Kiafrika kwa gharama zote.
Miungano ya kiafrika huwa ni vurugu tupu na ukiamua kuondoka kwenye Muungano inakuwa ni Vita na mauaji makubwa.
Mfano mzuri Muungano huu wa hapa ni kumezana na kufanyana Makoloni badala ya Muungano wa haki.
Angalia Muungano wa Senegambia tena wale Wagambia walikuwa na bahati walishtuka mapema.
Angalia Muungano wa Somalia mpaka damu imemwagika mno ndio wakaachana.
Hizi jumuiya ziishie kuwa jumuiya laa sivyo tukisema tuungane Kenya itatumeza na kutufanya koloni la wavuta bange
Mimi huwa nasema kila mtu akae na kwake turuhusu muingiliano wa Waafrika ikibidi tuunganishe hadi fedha ila kila mmoja abaki na jeshi lake.
Fedha moja,Paspoti Moja,Forodha Moja hapo sawa ila sio zaidi
Muungano wa Kibiashara kufugua Masoko ila Sio Muungano wa Kisiasa
faida ya pili ya muungano ukienda zanzibar kununua tv ukifika dsm ushuru wake kama umeitoa dubai
Muungano ulifanyika kumzuia Sultan kurudi Visiwani hata akipata msaada wa kijeshi kutoka Oman. Hili limefanikiwa lakini aliyelifanikisha amewaacha Wangazija na Wapemba umasikini mkubwa.
Kiuchumi Sultani angekuwepo sasa hivi Visiwa vingekua kama Dubai.
Leo hii Wazanzibari sijui kama wanafuatilia mambo yanayoendelea Ikulu ya Tanganyika, baada ya Hayati Magufuli kuondoka kuna watu pale waliguna na kupaza sauti, na kuchukizwa na wengine kugalagala na kusaga meno.Sisi tunahitaji muungano wa kijamii na si wakimamlaka, KIla mtu abaki na nchi yake.
Ni heri tubaki majarani wema kuliko kulazimisha udugu wa damu usiokuepo.
If that is the case, urais wa Samia ni golden opportunity kwao. Waitumie miaka hii 4 ya Samia kurejesha uhuru wa kujiamulia mambo yao.
Kumbuka kuna katiba, ni mpaka mambo haya yajadiliwe bungeni. Kama Mama ataruhusu mchakato wa katiba mpaya itasaidia sana.
Faida ziko nyingi wanasemaga wala keki ya taifa
Faida moja wapo ni watu wa Bara kwenye honeymoon Zanzibar[emoji1787][emoji1787]
HAKUNA..Naomba wanaofahamu manufaa yaliyopatikana kwa Tanganyika, ambayo pengine bila kuungana yasingepatikana wanijulishe na mimi niweze kuyafahamu.
Wapemba wanachangia kodi kuliko Wahindi? Ile Kariakoo tukiondoka wahindi nani anabaki? Kwenye michezo tukiondoa wahindi na waarabu nani anabaki?