Muungano wa Tanzania uko katika hatua ya kwanza kuelekea kuvunjwa

That's true, that's why I'm sayin let's cut them loose, I don't need this union, do you? It's only a bunch of moron politician.

To be honest the important of unity every one knows but this people zanzibarian have no any thanks to tanganyika coz we made them fell as nation and i am sure after we break union another game will start between themselves thats unguja and pemba coz 1964 revolution has regarded by UMA party from pemba as false and they prepared to overthrow karume and this is the source of union.
 
Mimi ninachkuambia ni kutokana na historia ya huu muungano mpaka tumefikia hatua hii ya kuandika katiba mpya tanganyika haijawahi kulalamika isipokuwa zenji na mimi ninakuambia muungano umefika mwisho wake..
Kweli muungano unafikia ukingoni ila si wengi watakao yaamini maneno yako.

Usishangae, ndio hawa hawa ambao miaka 20-25 iliyopita kama ungewaambia Watanganyika watakuja kuamka kwa wingi na kuidai Tanganyika yao basi wangekwambia wewe uko ndotoni..
 
Wakuu kiusalama muungano unaumhimu sana tuulinde sote kwa nguvu zote.
 
Kweli muungano unafikia ukingoni ila si wengi watakao yaamini maneno yako.

Usishangae, ndio hawa hawa ambao miaka 20-25 iliyopita kama ungewaambia Watanganyika watakuja kuamka kwa wingi na kuidai Tanganyika yao basi wangekwambia wewe uko ndotoni..
Mkuu umewahi kuiona tanganyika? Je muundo wake ulikuwaje make tunaweza kudai kitu ambacho hakijawahi kuwepo.
 
Mkuu,

Tumewatetea sana hawa Wazenji ila ukweli ni kuwa hawabebeki. Sasa hivi wameshaanza kuparuana hata Muungano haujavunjika, ukivunjika ndiyo kazi itakuwa pevu. Tatizo wao wanafikiri Ma-CCM wataawacha waende salama, ujinga mtupu. Kama Ma-CCM yanauwa watu wake wenyewe huku Bara, Zanzibar ndiyo yatakuwa hayana huruma.

Wameshamuamsha nyoka pangoni mwake, Watanganyika sasa tunadai nchi yetu, hapo kazi wanayo. Nafikiri kuna siku watakuja kupiga magoti na kuomba warudishwe ndani ya Muungano. Ila sasa itabidi Zanzibar iwe Mkoa na kama hawataki, basi acha wanywe chai ya CHUMVI.
 

sisi tuna njaa ya maendeleo na ndio maana mnafikiri mnadhulumiwa chapeni kazi na baada muungano kufa mtajua kama muungano ulikuwa hauna faida kwenu

kwanza inabidi muishukuru tanganyika imewafanya muwe ngugupemba na unguja maana mlikuwa mpigane unguja na pemba baada ya mapinduzi 1964 na lazima mnalianzia baada muungano si tutaona.
 

CHUKI, FITINA , UBAGUZI ndio iliyokujaa Moyoni mwako...!! Wazanzibar ni watu waungwana na kamwe hatujapata sikia wa kutokea hicho ukifikiriacho we we, Wazanzibar tumewakaribisha Watanganyika tokea enzi zilee walipokuwa wanakimbia kodi ya kichwa na wakaishi Zanzibar bila kurudi nyumbani kwa jinsi walivyopendezwa na maisha ya kidugu ya Wazanzibar....!!! na daima hiyo itabakia kuwa ndio asili ya Wazanzibar!!!
 
Mkuu umewahi kuiona tanganyika? Je muundo wake ulikuwaje make tunaweza kudai kitu ambacho hakijawahi kuwepo.
Sijayaelewa vizuri maswali yako.

Kama unamaanisha kuiona i.e kuzaliwa ndani ya Tanganyika basi mimi nimezaliwa baada ya Tanganyika.
..fafanua maswali yako vizuri.
 
Mkuu umewahi kuiona tanganyika? Je muundo wake ulikuwaje make tunaweza kudai kitu ambacho hakijawahi kuwepo.


ngoja nikusaidie kama unadhani tanganyika haikuwepo ingawa hatujaiona hiyo ndio bendera yake sasa.
 
Zaidi ni zanzibar wanalalamika kuliko tanganyika wakawaamsha watanganyika ndio waliodai katiba na ndio maana nilisema hii ni safari ya kuvunja muungano

Maganjwa:Hu Muungano haupo kihalisia huu ni mfumo tuu unaoitwa Muungano, Niliwahi kusoma sehemu na kumsikia Mzee Hasan nassor Moyo akisema kuwa mzee AAK na mzee JKN waliwahi kuhitilifiana kwa muda wa Mwaka 1 hawakusema wala kuonana na haikupita muda mrefu Mzee AAK akauwawa.Je hapa kweli palikuwa na muungano wania njema kwa faida ya WaTanganyika na waZNZ?
Ukiangalia Historia ya ZNZ kabla na baada ya uhuru na ukiangalia Historia ya AA na TAA mpaka TANU na JkN na Tanganyika utaona jinsi gani Jkn alivyo ingia ktk siasa kutoka ktk uwalimu najinsi alivyo weza kupata uwongozi wa juu wa TANU mpaka kuingia Ikulu akiwa mkuu wa nchi.Haya ukiyafuatilia utajua kama hakuna ktk watu hawa AAK naJKN waloungnisha hizi nchi kwa maslahi ya wananchi.
Waliunganisha hizi nchi kila mmoja akiwa na malengo yake binafsi ndio maana huu si muungano wa kweli na ndio maana JKN alikuwa mkali sana pindi akitokea mtu kuhoji Muungano na wengi wamepoteza madaraka yao wakati wa JKN kwa kuhoji Muungano usio eleweka.kwahiyo hiyo shaka ulio nayo nisawa tu huo ni muendelezo wa kuvunja huo mfumo tulio karirishwa kama ni Muungano.
 

sasa nani kawaloga miaka ya hivi karibuni mpaka mnaangaliana eti huyu katoka bara hafanani na sisi? ninachoona hofu imekujaa na wasiwasi wa siku hiyo ikija mtakuwa mgeni wa nani? wala msiogope mliyataka yote hayo.
 

Yaap umekuja kenye point. na suala muhim sana ilikuwa kuuliza watu je tuwe na muungano au tusiwe na muungano. hilo swali ni uhaini na kitu cha kuhioji ni je muungano uwe wa aina gani? umeona?
 
Ni mchakato mkuu siyo chache ni nyingi zataka mda kwa sasa niko bungeni nitashindwa kukupa kwa umakini.

nakuomba ndugu katiba mpya iseme je nchi hii aidha iwe ya kijamaa, ubepari au mrengo wa kati maana rasimu iko kimya hapo.
 

Rasimu ina mambo mengi kuhusu huu muungano hivyo kuchaguwa moja na kusema kuwa ndio chanzo naona bado ni mapema kwani hiyo ni rasimu na lengo la Bunge maalum ni kuangalia kuwa viashiria vya kuvunja muungano vinajadiliwa na kuwekwa sawa.
 
Tukufahamu vipi sasa? Tujadili tishio la kuvunjika kwa muungano au jee muungano uwepo au usiwepo?
 

kitu gani mnatendewa baya na watanganyika ambayo sio ya haki na inawadhulumu ninyi?
 
Tukufahamu vipi sasa? Tujadili tishio la kuvunjika kwa muungano au jee muungano uwepo au usiwepo?

kwa hiyo wewe hukuona cha kujadili katika post yangu ukaona hofu yangu? hoja ni jinsi vifungu vinavyogongana kama unataka nikusaidie kukuelewesha. mana vifungu vinagongana now let go to fact nafikir nimekusaidia.
 
Rasimu ina mambo mengi kuhusu huu muungano hivyo kuchaguwa moja na kusema kuwa ndio chanzo naona bado ni mapema kwani hiyo ni rasimu na lengo la Bunge maalum ni kuangalia kuwa viashiria vya kuvunja muungano vinajadiliwa na kuwekwa sawa.

mkuu umesema vema sana mimi nimetoa kitu kitakacholeta utata na imani yangu ni kwamba haipita bila kurekebishwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…