RICARDO KAKA
JF-Expert Member
- May 26, 2012
- 865
- 338
Jaamani naomba kuuliza, si kwamba nadharau ila nataka kujua kuwa "INA MAANA AKILI YA MWALIMU NYERERE NI ZAIDI YA AKILI ZA WATANZANIA WOTE HADI SASA?" Hivi mawazo ya Mwalimu Nyerere ni Msahafu au Biblia?
Ni hayo tu Watanganyika wenzangu!
mimi nimetoa kitu kitakachokea ila faida ya muungano utaiona siku muungano ukivunjika kama wewe wazenji watapata ndio wataopata shida zaidi itakuwa kama urusi na jimbo la cremia kutaka kujiuunga na urusi maana angalia ukubwa wa tanganyika na zanzibar kibiashara wataathirika sana sidhani kama chakula watajiweza wasije tanganyika mpakani lazima watozwe sawasawa.
Mmmmmmmmmm! kuanzisha Muungano is not a LAW or PRINCIPLE. kwa hiyo mmmmmmmm machale yananicheza kukubaliana na wewe!ukitaka kujua hilo kuna wale waliosoma walioenda shule kidodo hata ya kidato cha nne basi kuna watu wanaitwa plato arristatol na socrates kwa nini wanatajwa mpaka leo watu waliokufa kabla ya kuzaliwa kristu?
jibu la swali lako ni hii nyerere ni mwanafilosofia amefanya mambo yaliyowagusa watu sana kila kona kwa mazuri na mabaya. Nyerere alivunja mfumo akasimamisha mfumo. wale watu waliokuwa na mfumo wao ukavunjwa ndio wanaomlaani mpaka leo na baada kusimamisha mfumo mpya walioukubali ni wengi zaidi kuliko wale wanaomlaani kwa hiyo ndio maana jina hilo nyerere litaendelea sana kutajwa sio hapa tu tanzania na africa inamjua kama mwana wa afrika mwenye uwezo aliyewahi kuishi duniani katika sehemu inayoitwa Tanzania.
nadhani nimekusaidia ngugu yangu.
Unajidanganya sana kufikiri kuwa Zanzibar itapatatabu ya chakula kwa kuvunjika muungano. Bila shaka kuvunja utaratibu kwa hafla kutakuwa na madhara yake lakini sio kuwa Zanzibar itashindwa kupata chakula.
Chukuwa mfano mmoja hjuu, ni juzi tu kulikamatwa vyakula pwani ya kunduchi, sijui kama unajuwa kuwa vyakula vile vinatoka Zanzibar? Sasa jiulize kizungumkuti hicho, halafu utwambie huko wanakokipata na namna wanavyovipata Wazanzibari watashindwaje kupata chakula iwapo muungano utavunjika?
Muungano utakuja vunjika kwa sababu waliouasisi waliamua kuufanya kuwa kitendawili hadi leo. Kuna mambo yanayohitaji ufafanuzi na uwazi zaidi ili kila upande uridhike lakini hayatatuliwi kiasi huwa ni vigumu kuelewa huu muungano ni kwa faida ya nani maana kila upande unalalamika
Unajidanganya sana kufikiri kuwa Zanzibar itapatatabu ya chakula kwa kuvunjika muungano. Bila shaka kuvunja utaratibu kwa hafla kutakuwa na madhara yake lakini sio kuwa Zanzibar itashindwa kupata chakula.
Chukuwa mfano mmoja hjuu, ni juzi tu kulikamatwa vyakula pwani ya kunduchi, sijui kama unajuwa kuwa vyakula vile vinatoka Zanzibar? Sasa jiulize kizungumkuti hicho, halafu utwambie huko wanakokipata na namna wanavyovipata Wazanzibari watashindwaje kupata chakula iwapo muungano utavunjika?
Mmmmmmmmmm! kuanzisha Muungano is not a LAW or PRINCIPLE. kwa hiyo mmmmmmmm machale yananicheza kukubaliana na wewe!
Muungano haukufanywa kwa kulenga faida wakati wa hao waasisi. Wakati wao ndio ulikuwa wakati ambao kulikuwa hakuna maingiliano yoyote kwa wananchi. Kusafiri kwa Pasipoti na Zanzibar tulikuwa na vitambulisho vya uraia.
Kuna nyakati tofauti upande mmoja ulikuwa na dhiki lakini upande wa pili kuna faraja lakini hakuna kusaidiana.
Lengo lilikuwa kulindana katika madaraka ya viongozi wa pande mbili hizi.Hili la upande mmoja kutumia ujanja na udhaifu wa mwengine ulikuja baadae nahuku kulileta kutegemeana kimaslahi na huu utegemezi wa kimaslahi wa viongozi ndio unaotiliwa maanani sasa.
kwa hiyo wewe hukuona cha kujadili katika post yangu ukaona hofu yangu? hoja ni jinsi vifungu vinavyogongana kama unataka nikusaidie kukuelewesha. mana vifungu vinagongana now let go to fact nafikir nimekusaidia.
Nilikwishakwambia kuwa kama lengo ni kuuimarisha basi ni kazi ya Bunge maalum kuondowa migongano iliyopo. Tatizo ni kuwa hatuko wazi jee tunautaka au la!
kama nilivyosema kuishi wataishi kwani hawana marafiki? mimi ninachomaanisha ni uhuru huu walionao wataupoteza baada ya muungano.
Tuwe na serikali tatu na tuwe na nia ya kuwa na muungano sio kulaghaiana!je muungano ili uwe mzuri unaangalia nini labda tueleshane hapo kwanza maana hapa kuna kitu kimejificha.
Maganjwa jibu hoja kaka. Fafanua hiyo kifungu
Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
hiyo ndio hoja ndugu yangu. Ila hatuna room ya je muungano uwepo au usiwepo tuna room ya tunataka muungano wa serikali ngapi ndio maana tumepotezana mpaka mambo ya msingi tumeacha kujadili kama matokeo ya kidato cha nne!!