Khaa , jamani mbona imekuwa shari tena? mimi sijaongelea waarabu, nimeongelea wafanyabiashara wa znz tunaoaambiwa wapo dunia nzima na kwamba muungano ukivunjika Watanganyika watakwenda kuwatafuta.Zanzibar ni ya Wazanzibar wote, hizo kasumba zako za kuwachukia Waarabu kwetu hazina nafasi, lakini kama unawachukia zaidi, vumbua hadi maneno yako wala usitumie misamiati yao kama "Daftari"....!! Shenzi wa Nyerere we!
Kwa sababu zilizo wazi za kulinda mali yetu ya ardhi dhidi ya Waafrika Mashariki wenzetu ambao wao hawana kingi cha kutupa kwa upande wa ardhi. Lakini tofauti na Zanzibar, sisi hatujajifanya kuwaambia wa East Afrika eti "tunawakaribisha."Taso,
Kwanini mlikataa kutia saini mkataba wa utengamano wa EAU (EAC) sababu hamtaki wanyaruwanda, wakenya na waganda na warundi wasimiliki ardhi Tanzania?
Khaa , jamani mbona imekuwa shari tena? mimi sijaongelea waarabu, nimeongelea wafanyabiashara wa znz tunaoaambiwa wapo dunia nzima na kwamba muungano ukivunjika Watanganyika watakwenda kuwatafuta.
Nimeuliza wafanyabiashara waliozagaa ni wapi? Ni hawa wavuvi walioweka kambi kigamboni wakija na madau kutuletea samaki au ni wale wenye asili Oman lakini znz?
Kwa sababu zilizo wazi za kulinda mali yetu ya ardhi dhidi ya Waafrika Mashariki wenzetu ambao wao hawana kingi cha kutupa kwa upande wa ardhi. Lakini tofauti na Zanzibar, sisi hatujajifanya kuwaambia wa East Afrika eti "tunawakaribisha."
Wazanzibar mna haki, sababu na wajibu wa kulinda ardhi yenu lakini msijifanye kusema "mnatukaribisha."
Sasa kaeni mjipange tayari kupokea mpango mpya, baada ya Katiba hii mpya hakuna tena kiumbe cha Pemba wala Unguja kitakachoruhusiwa kumiliki ardhi Tanganyika ilhali kwenu tunakataliwa na sheria ya Baraza la Mapinduzi.
Hao waliokuja na mwenge ni wepi? Maana najua znz ni wznz na hawana tofauti, vipi unaposema kuna wznz waliokuja na mwenge. Ni wapi hao ndugu yangu.Bado Watanganyika mna hoffu kubwa sana baada ya kuvunja huu Muungano haramu, Wazanzibar wanajitosheleza kwa kila ki2 sio uvuvi wala kibiashara, ukiachia hizo fitna mliopandikizwa lakin bado Zanzibar ni Wazanzibar wote wawe Wavuvi, wakulima mpaka hao unaowaita ni waOman bado ni Wazanzibar na thaman yao kubwa kuliko wale Watanganyika waliokuja kwa mwenge kutuletea fitina na kasumba za babu yao, anyway katu huwezi kuwagawa Wazanzibar..!
Hao waliokuja na mwenge ni wepi? Maana najua znz ni wznz na hawana tofauti, vipi unaposema kuna wznz waliokuja na mwenge. Ni wapi hao ndugu yangu.
Hao waliokuja na mwenge ni wepi? Maana najua znz ni wznz na hawana tofauti, vipi unaposema kuna wznz waliokuja na mwenge. Ni wapi hao ndugu yangu.
Nguruvi3Hakuna chuki, yote uliyosema ni kweli. Hao wa oman unaozungumzia ni wale walioko kwao. Mimi nazungumzia ;wa Oman wa znz' na wavuvi wa znz.
Lakini pia wa Oman licha ya misaada yote hawajawahi kuonyesha interest ya kutawala. Ushanielewa.
Mimi nazungumzia wale wa Oman wa znz wanaotoa misaada na sasa wanataka utawala.
Nguruvi3
Kila siku nikisoma post zako zinazohusu muungano inaonyesha jinsi gani una chuki/husda na Wazanzibar, ushauri wangu kwako subiri huo muungano uvunjike tuone hao watu wa Mtwara na Lindi watafaidikaje na kuvunjika kwa muungano.
Mkuu naona unajifariji na kujiliwaza kwa msongo wa mawazo, muungano ukivunjika wazanzibar wataishi kama wawekezaji kutoka nje kama walivyo Wakenya, Wahindi na Wazungu.Kwa sababu zilizo wazi za kulinda mali yetu ya ardhi dhidi ya Waafrika Mashariki wenzetu ambao wao hawana kingi cha kutupa kwa upande wa ardhi. Lakini tofauti na Zanzibar, sisi hatujajifanya kuwaambia wa East Afrika eti "tunawakaribisha."
Wazanzibar mna haki, sababu na wajibu wa kulinda ardhi yenu lakini msijifanye kusema "mnatukaribisha."
Sasa kaeni mjipange tayari kupokea mpango mpya, baada ya Katiba hii mpya hakuna tena kiumbe cha Pemba wala Unguja kitakachoruhusiwa kumiliki ardhi Tanganyika ilhali kwenu tunakataliwa na sheria ya Baraza la Mapinduzi.
minyoo,Wana Visiwa baada ya kuinyonya sana Tanganyika kwa kila kitu sasa wameona wanatanganyika wameshituka wanataka Tanganyika Yao wanahaha hawajui maisha ya Utitiri wa wabunge na mawaziri Pia Viongozi wengi ktk Visiwa vidogo watawalipa mshahara upi kwani Uchumi wa ZNZ si imara kiasi cha Kuwa na Fedha za kuwalipa mishahara posho na marupurupu watumishi wake kumbuka Tanganyika yenye Madini Mbuga na Rasilimali zote bora imewabeba sana lakini wakishiba wanaanza Malalamiko huku Wakililia kurejesha koloni la Mwarabu . Ni Ukweli usiopingika Kuwa Siku muungano ukifariki Tanganyika itakuwa Nchi Tajiri Kama south Africa kwani Fedha ya kubembeleza muungano itasalia Bara kuinua Uchumi Pia watalipia umeme na chakula kwa dola Viza na vibali vya kuisha Bara vitalipiwa pato la Taifa la Tanganyika litapaa kwa kasi ya ajabu sana .
Mkuu naona unajifariji na kujiliwaza kwa msongo wa mawazo, muungano ukivunjika wazanzibar wataishi kama wawekezaji kutoka nje kama walivyo Wakenya, Wahindi na Wazungu.
Mkuu suala la kumiliki ardhi linaitaji pesa siyo maneno na stori za vijiweni, yale majengo ambayo yapo Kariakoo unategemea utayapata kwa kuandika JF, sisi watu wa ukanda wote wa Pwani ni ndugu toka karne na karne na tuna muungano wetu, hatuwezi kupangiwa na watu kutoka Rombo au Makete.
Kwa hiyo unategemea muungano uvunjike ukaibe mali za wazanzibar.
Kuna wznz wa aina mbili wapi unaoongelea?
Wale wavuvi weusi wanaokuja soko la samaki au wale wa Oman?
Khaa , jamani mbona imekuwa shari tena?
Nimeuliza wafanyabiashara waliozagaa ni wapi? Ni hawa wavuvi walioweka kambi kigamboni wakija na madau kutuletea samaki au ni wale wenye asili Oman lakini znz?
Nimesikia, sijaelewa unaongelea nini, hata hivyo ahsante kwa maoni yako.Nguruvi3
That is outrageous accusation hakuna wa Omani Zanzibar walioko ni Wazanzibari. Au Wambunga na Wandamba wa Kilombero ni Wa South Africa, Wakurya na Wazanaki wa Musoma ni Warundi, au Wamakonde na Wamwera wa Mtwara ni Wa Msumbiji? UNFORTUNATELLY HIZI NI CHUKI ZIKITUMIWA NA MSOMI MAARUFU ('Mwalimu') KUWAGAWA WAZANZIBARI ili awatawale na wakamjulia mbinu zake na nyinyi vujukuu vyake mliokuja juzi kutoka Simanjiro mnatuletea the same stories!
Kwa mujibu wa Katiba kila m Zanzibari ana haki ya kushiriki kikamilifu katika maendeleo ya nchi kama kisiasa, kiuchumi na kijamii bila kujali rangi au kabila yake.
Ikiwa Mwakanjuki ana haki ya kutawala basi na Salim Bimani ana haki ya kutawala vile vile. Umenisikia?!!!
kahtaan, Ritz, mfumo, Polite, gombesugu
Sina chuki na znz na wala sina sababu za kuwa na chuki. Unachokiona ni chuki ni ukweli na sitegemei ufurahie ukweli.Nguruvi3
Kila siku nikisoma post zako zinazohusu muungano inaonyesha jinsi gani una chuki/husda na Wazanzibar, ushauri wangu kwako subiri huo muungano uvunjike tuone hao watu wa Mtwara na Lindi watafaidikaje na kuvunjika kwa muungano.
Nataka unijibu kwa hoja sio unaleta viroja apa...!! iko wapi pwani ya Tanganyika, ivo yule babu yenu ni mpuuzi saaana kuhamishia makao makuu Dodoma...?