Tatizo hata wakiungana CCM huwa hawategemei kura ili kuchukua dola!
Kuna njia nyingi za kupata majibu ya baadhi ya mahesabu!!Swali Zuri sana.
Kama tume ya taifa ya uchaguzi ndiyo watakao hesabu kura basi hamna jipya.
Kila jambo na wakati wake mkuu!Kama Mrema na Lowasa ilishindikana mh sijui
Itakuwa ni ajabu jipya na sijui la ngapi duniani!?!?!?!?!?
OkKila jambo na wakati wake mkuu!
kama ni kweli itakuwa ni jambo la kheri...Tayari mikakati imekwishaiva. Vyama vya upinzani bila kujali itikadi zao pamoja na Vigogo kadhaa kutoka Chama Cha Mapinduzi CCM wameshajipanga kuingia Ikulu na kuangusha utawala uliopo madarakani hivi sasa.
Nimepenyezewa habari kwamba Mipango ilianza tangu mwaka 2016 na figisufigusi wanazofanyiwa baadhi ya Viongozi wa upinzani ni katika kutaka kuwadhoofisha lakini Mipango ya kuingia Ikulu 2020 na kuiangusha CCM ipo na inaratibiwa kwa usiri wa hali ya juu na baadhi ya viongozi wa CCM, Chadema, CUF ya Maalim Seif na Chauma ya Mzee Hashim Rungwe.
Tujiandae kwa mtifuano mkali 2020.
Tatizo hata wakiungana CCM huwa hawategemei kura ili kuchukua dola!
Swali Zuri sana.
Kama tume ya taifa ya uchaguzi ndiyo watakao hesabu kura basi hamna jipya.
Hebu tupe mambo angalau matano ya muhimu ambayo wapinzani watafanya kama wakifanikiwa kuingia Ikulu 2020.Tayari mikakati imekwishaiva. Vyama vya upinzani bila kujali itikadi zao pamoja na Vigogo kadhaa kutoka Chama Cha Mapinduzi CCM wameshajipanga kuingia Ikulu na kuangusha utawala uliopo madarakani hivi sasa.
Nimepenyezewa habari kwamba Mipango ilianza tangu mwaka 2016 na figisufigusi wanazofanyiwa baadhi ya Viongozi wa upinzani ni katika kutaka kuwadhoofisha lakini Mipango ya kuingia Ikulu 2020 na kuiangusha CCM ipo na inaratibiwa kwa usiri wa hali ya juu na baadhi ya viongozi wa CCM, Chadema, CUF ya Maalim Seif na Chauma ya Mzee Hashim Rungwe.
Tujiandae kwa mtifuano mkali 2020.
Kupata vichekesho Kama hivi tuma neno PUMBA kwenda namba 12157Mwambie jiwe atafute hifadhi mapema,jeshi,police, tiss,2020 hawako naye haki itafuatwa,atashindwa na atataka kutumia nguvu ndo atatolewa yeye,yatamkuta ya Laurent Gagbo wa Ivory Coast
Endelea kuota, sio vibaya kuotaMwambie jiwe atafute hifadhi mapema,jeshi,police, tiss,2020 hawako naye haki itafuatwa,atashindwa na atataka kutumia nguvu ndo atatolewa yeye,yatamkuta ya Laurent Gagbo wa Ivory Coast
zanzibar tume ilikuwa imeundwa na vyama vyote ndiyo maana walifuta, had it been kama ilivyo hapa kwetu ilikuwa ni kutamuka figure yoyote mradi washinde.Itashindaje sasa bila kuchaguliwa na wananchi.? Itachukua madaraka kwa nguvu?