Tetesi: Muungano wa Vyama 2020 CCM inaanguka

Tetesi: Muungano wa Vyama 2020 CCM inaanguka

Tatizo hata wakiungana CCM huwa hawategemei kura ili kuchukua dola!
Swali Zuri sana.
Kama tume ya taifa ya uchaguzi ndiyo watakao hesabu kura basi hamna jipya.
Kuna njia nyingi za kupata majibu ya baadhi ya mahesabu!!
Uki lala kuna wanao amka ukiamka kuna wanao lala!
Sijuwi mnatambua Hilo!!
Sio kila swali huwa lina majibu! Jambo msilo lijuwa sio kwamba watu wote hawalijuwi!!
 
Duh Tanzania yangu hadi naionea huruma kabisa....maisha yetu ndo yamebaki kwenye kupiga kelele kwenye mambo kama kila inapokaribia chaguzi
 
Tayari mikakati imekwishaiva. Vyama vya upinzani bila kujali itikadi zao pamoja na Vigogo kadhaa kutoka Chama Cha Mapinduzi CCM wameshajipanga kuingia Ikulu na kuangusha utawala uliopo madarakani hivi sasa.

Nimepenyezewa habari kwamba Mipango ilianza tangu mwaka 2016 na figisufigusi wanazofanyiwa baadhi ya Viongozi wa upinzani ni katika kutaka kuwadhoofisha lakini Mipango ya kuingia Ikulu 2020 na kuiangusha CCM ipo na inaratibiwa kwa usiri wa hali ya juu na baadhi ya viongozi wa CCM, Chadema, CUF ya Maalim Seif na Chauma ya Mzee Hashim Rungwe.

Tujiandae kwa mtifuano mkali 2020.
kama ni kweli itakuwa ni jambo la kheri...
 
25% mafao ndo ajenda kuu itakayotumiwa na ccm b ukawa dhidi ya ccm makinikia
 
Tayari mikakati imekwishaiva. Vyama vya upinzani bila kujali itikadi zao pamoja na Vigogo kadhaa kutoka Chama Cha Mapinduzi CCM wameshajipanga kuingia Ikulu na kuangusha utawala uliopo madarakani hivi sasa.

Nimepenyezewa habari kwamba Mipango ilianza tangu mwaka 2016 na figisufigusi wanazofanyiwa baadhi ya Viongozi wa upinzani ni katika kutaka kuwadhoofisha lakini Mipango ya kuingia Ikulu 2020 na kuiangusha CCM ipo na inaratibiwa kwa usiri wa hali ya juu na baadhi ya viongozi wa CCM, Chadema, CUF ya Maalim Seif na Chauma ya Mzee Hashim Rungwe.

Tujiandae kwa mtifuano mkali 2020.
Hebu tupe mambo angalau matano ya muhimu ambayo wapinzani watafanya kama wakifanikiwa kuingia Ikulu 2020.
 
Mwambie jiwe atafute hifadhi mapema,jeshi,police, tiss,2020 hawako naye haki itafuatwa,atashindwa na atataka kutumia nguvu ndo atatolewa yeye,yatamkuta ya Laurent Gagbo wa Ivory Coast
Kupata vichekesho Kama hivi tuma neno PUMBA kwenda namba 12157
 
Mwambie jiwe atafute hifadhi mapema,jeshi,police, tiss,2020 hawako naye haki itafuatwa,atashindwa na atataka kutumia nguvu ndo atatolewa yeye,yatamkuta ya Laurent Gagbo wa Ivory Coast
Endelea kuota, sio vibaya kuota
 
Itashindaje sasa bila kuchaguliwa na wananchi.? Itachukua madaraka kwa nguvu?
zanzibar tume ilikuwa imeundwa na vyama vyote ndiyo maana walifuta, had it been kama ilivyo hapa kwetu ilikuwa ni kutamuka figure yoyote mradi washinde.
 
Back
Top Bottom