Muungano wetu: Mgao wa Fedha za IMF na Zanzibar kupewa asilimia 18, ni sahihi?

Muungano wetu: Mgao wa Fedha za IMF na Zanzibar kupewa asilimia 18, ni sahihi?

Ndo nikakamwambia mwanzo km ww unavolalamika na Wazanzibar miaka ya nyuma walikuwa wanalalamik moja ya kero za muungano kuhusu mikopo Zanzibar haiwezi pata mkopo nje hata kama kuna mfadhili tayari yupo kibali lazima kitoke Tanganyika nawao wapewe kidogo sio kile walichoomba nafikiri sasa hivi hiyo kero imetatuliwa ndomana unaona kuna percent maalum inaenda huko inabidi uzoee lkn inavoonekana kero hiyo inageuka kwa watanganyika kuona Zanzibar inapendelewa [emoji3][emoji3]
Hapana Watanganyika hawana tatizo na Zanzibaer kukopa. Watanganyika wana tatizo na Zanzibar kukopa halafu mzigo wa kulipa anaubeba Mtanganyika. Hapo ndipo watu wanapokasirika na kuchafukwa roho. Wazanzibar wakakope kupitia SMZ matrilioni kadri wanavyoweza.

Kinachotokea sasa hivi hawataki kukoa kwasababu wakisubiri za kukopwa na Tanganyika mwisho wa siku bili ni ya 'machogo' siyo ya Wazanzibar

Tazama kiasia cha watu ambao basically ni laki 5 kwasababu wengi sana wapo Tanganyika.
Halafu mgao wanaoupata ni mkubwa kuliko mkoa wowote wa Tanganyika wenye watu zaidi ya milioni 2 na kuendelea. Katika mikoa hiyo ukienda BoT utaona kila mmoja na mchango wake, ukienda BoT mchango wa Zanzibar ni sifuri!
 
Washiraz?
emoji44.png
emoji16.png
Hao na wengine waliokuja na majahazi
 
Miaka yote mikopo ikitoka inatumika bara tu, na wazenji hawakuruhusiwa kukopa kama wao,, watu wa bar tuna ubinafsi sana[emoji28]
2010 JK aliwaruhusu na hilo lipo katika katiba yao
Kwani kuna shida gani SMZ kwenda kukopa Trilioni 600 wakapia wenyewe?

Kuna dhana potofu kwamba watu hawataki Zanzibar wakope. La hasha
Tunasema hivi, wao ni sehemu tu tena ndogo sana ya JMT , wanachopata kinatosha waishi bila kufanya kazi. Kwasasa wanapata kuliko mkoa wa Mwanza halafu wanachangia sifuri kuliko kijiji chochote cha Tanganyika

Pili, Zanzibar waende wakakope walipe wenyewe siyo kukopa na kumtupia mzigo mwananchi wa Manzese anayebeba Lumbesa wao wakipeana pensheni za uzeeni.
 
Habari zenu wakuu?
Kama nitamkwaza mtu naomba nisamehewe lakini siwezi kukaa kimya.

Serikali imetoa mpangilio wa matumizi ya mkopo wa IMF , Tsh Trillion 1.3 za kitanzania.

Kama ifuatavyo;

(i). Sekta ya maji- Billion 139.4
(ii). Elimu -Billion 368.9
(iii). Afya - Billion 90.2
(iv).Jamii yenye maisha duni - Billion 5.5
(v). Makundi maalum - Billion 5
(vi). Shughuli za uratibu - billion 5

(vii). SERIKALI YA ZANZIBAR - BILLION 231

********************************************

* Yani Tanzania bara tupo zaidi ya million 55 ila jamii yenye mazingira magumu inapewa billion 5 wakati kwa takwimu za harakaharaka nadhani inakadiriwa waTz wenye maisha duni ni zaidi ya million 7. ni dhahiri hiyo hela haitoshi kbsa maana hata watu wa tasafu wanalipwa kiduchuuuuuu.

*Zanzibar ina wakazi zaidi ya 1 million kwanini fedha zote hizi ziende kwao ilihali serikali ingepunguza walau billion 100 na kuzijaza kwenye yafuatayo...

-mikopo ya vijana yenye riba nafuu au 0% riba

-kuongeza hela kwenye hiyo bajeti ya afya ili hospitali za wilaya na zahanati za kata vijijini vikapata vifaa pungukiwa.

-basi jamani hata walimu kadhaa wajengeeni nyumba za kukaa hata mbili tatu za kuzuga na hyo bilion 100

HAYO NI BAADHI AMBAYO YAPO KICHWANI KWANGU ILA NAJUA KILA MTU ANA YAKE AKILINI.

Ni nini faida ya muungano kwa Tanzania bara?

mzalendo wa kweli.
Hapa kwetu lita ya mafuta ya kula imefika 9000
mkate- 1300
soda -700
mchele wa kawaida 1kg-2200

Chanzo ya picha ya budget -TBC
maoni yaliongezewa - Mzalendo wa kweli

Nawasilisha.

Mwenye kuzijua faida za muungano wa Tanganyika na Zanzibar tafadhali azitaje hapa.​

Mkuu. mimi sijui na wala sina jibu la mambo haya, lakini inanisukuma nichangie mjadala huu, kwani ni muhimu zaidi kuliko kukaa kimya na maumivu ndani kwa ndani.

Binafsi ningetegemea kuwa kuna utaratibu maalum unaoeleweka wa mambo kama haya kufanyika. Kama utaratibu huo upo, na ulishajadiliwa na kukubaliwa, basi, tutafute jibu huko. Na kama bado hairidhishi, kwa maana kwamba utaratibu uliopo siyo sahihi, ufumuliwe na uwekwe wenye uwiano unaostahili.

Lakini kama mambo haya sasa hivi yanafanyika kama mazoea tu, kwa vile mkuu ni wa kutokea huko, basi haifai hata kidogo kuyanyamazia.
Nadhani litakuwa ni jambo muhimu la kutumia ule utaratibu ambao mara nyingi umetumiwa na sehemu moja ya muungano, utaratibu unaoitwa 'KERO ZA MUUNGANO"..., sasa Kero zitakuwa zinaelekezwa upande wa pili (Tanganyika), badala ya kulivyozoeleka kuwa zinaelekezwa Visiwani.

Pili, hii ni hela ya mkopo, mkopo unaotolewa kwa serikali ya Tanzania, na ni hiyo hiyo itakayolipa mkopo huo. Kwa maana halisi ni kwamba sehemu kubwa sana italipwa na watu hao milioni 55 walioko sehemu moja ya Muungano, na wale milioni moja, uchangiaji wao katika kuulipa huo mkopo ni mdogo zaidi.

Baada ya kuyasema haya, nami naungana nawe katika kuuona huu utaratibu wa mgawanyo kama "KERO" hasa, kwa wale walioko Bara.
Asante mkuu.

Sent from my SM-M307F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu utaratibu upo lakini kuna hila.
Utasikia kugawana tu hakuna utaratibu wa kulipa madeni au kuchangia muungano.
Lakini kama mambo haya sasa hivi yanafanyika kama mazoea tu, kwa vile mkuu ni wa kutokea huko, basi haifai hata kidogo kuyanyamazia.
Hili linajidhihirisha kwasababu Wazanzibar waliolalamika sana hutuwasikii tena
Nadhani litakuwa ni jambo muhimu la kutumia ule utaratibu ambao mara nyingi umetumiwa na sehemu moja ya muungano, utaratibu unaoitwa 'KERO ZA MUUNGANO"..., sasa Kero zitakuwa zinaelekezwa upande wa pili (Tanganyika), badala ya kulivyozoeleka kuwa zinaelekezwa Visiwani.
Kwanza, kero za Zanzibar zimemamalizwa kwa siri sana hakuna anayejua zimemalizwaje.
Tunachojua Wazanzibar wameridhika, sasa nani amesimama kwa maslahi ya Tanganyika?

Pili, Tanganyika hawana kero, wanachotaka ni kuwajibika na kutoumizwa
Kwamba, Zanzibar iwe mshiriki wa muungano kuchangia si mshiriki wa kugawana
Kwamba, rasilimali za Tanganyika si haki ya Zanzibar ni fadhila
Kwamba, Zanzibar wapate haki kulingana na siyo kwa hadhi tu. Mfano, mgao wa mapato kwa Zanzibar ni mkubwa kuliko mkoa wa Mwanza, lakini mchango wake ni '0'

Kwamba, kuendesha muungano na taasisi ni jukumu la wote si mzigo wa Mtanganyika

Kwamba, muungano uliopo haupo , Zanzibar ina kila kitu chake
Hapa ndipo watu wanaitaka Tanganyika kila mmoja asimame na masilahi yake
Pili, hii ni hela ya mkopo, mkopo unaotolewa kwa serikali ya Tanzania, na ni hiyo hiyo itakayolipa mkopo huo. Kwa maana halisi ni kwamba sehemu kubwa sana italipwa na watu hao milioni 55 walioko sehemu moja ya Muungano, na wale milioni moja, uchangiaji wao katika kuulipa huo mkopo ni mdogo zaidi.
Zanzibar hawawezi kulipa mikopo! wanapata wapi uwezo wa kulipa mabilioni tajwa.
Tangu 'zamu yetu' mipesa ni zaidi ya bilioni 500.
Zanzibar makusanyo yake kwa mwezi ni less than 100B , deni wanalipaje?

Ni mfano ule wa Baraza la Wawakilishi lina wajumbe 50 kwasababu wanalipwa na SMZ.
Wabunge wa Zanzibar Dodoma ni zaidi ya 80 kwasababu wanalipwa na Tanganyika

Mzigo wa deni ni wa Mtanganyika si Mzanzibar. Kwanini! tumeomba tuonyeshwe formula ya kulipa deni hakuna! tuonyeshwe formula ya kuchagia! hakuna

Ni utaratibu ule ule wa Zanzibar kupewa 4.5% ya pato la Tanganyika.
Kwamba, uchumi wa Tanganyika unavyokua Wazanzibar wanavuna tu!
Wanasingizia mchango wao BoT bila kujua kuwa mchango huo si sawa na pato la nchi.
Watanganyika wanauliza, formula za kugawana zipo za kuwajibika zipo wapi?

Baada ya kuyasema haya, nami naungana nawe katika kuuona huu utaratibu wa mgawanyo kama "KERO" hasa, kwa wale walioko Bara.
Kugawana hakuwezi kuwepo bila kujua tunagawana nini.
Kugawana kuliopo ni kugawana vitu vya Tanganyika. Zanzibar ni 'ZERO' katika mchango

Kinachotakiwa sasa hivi ni kurudi kwenye rasimu, mambo 7 tu

Kwanini mambo 7 ya Rasimu ya Warioba!
Hakuna sababu ya lundo la Wabunge wa Zanzibar wakilipwa kwa kodi za Watanganyika wakijadili bei ya mafuta bara, mishahara bara, umeme bara, maji bara, kilimo bara, afya, elimu, nishati , Tamisemi, mifugo na maji. Haya hayawahusu.

Mbunge wa Zanzibar anakuwa katika kamati ya Bunge kukagua TAMISEMI kwasababu zipi? Tamisemi haiwahusu Zanzibar!

Gharama za kuwaweka Dodoma zielekezwe kujenga Hospitali na shule au mikopo ya wanafunzi. Kwanini wanajadili mambo yasiyowahusu?

Pili, wanatakiwa kuwepo kujadili mambo 7 tu tena waje kwa gharama za SMZ kwasababu wanawakilisha Zanzibar (Rasimu ya Warioba)

Tatu, hatuna sababu za kuwa na taasisi ambazo tayari Zanzibar wanazo.
Tunalipia kama Tanganyika ila Wazanzibar wao wanakuja kwa ajira na si gharama!

Nne, kila serikali itabeba mzigo wake na SMZ itakuwa na uwezo wa kukopa Trilioni 600 bila kuulizwa kwasababu watalipa, sasa hivi wanakopa tu kwasababu bili analipa Tanganyika!
 
Zanzibar acha waitumue vyema fursa waliyo ipata. Inaweza isijirudie tena. Na baada ya miaka 20 tukiendelea hivi zanzibar haitakamatika. Kuna uwezekano mkubwa wananchi wa kule wakapata benefits nyingi na bora sana.

Jiulize deni tunalo wadai la umeme wamesha lilipa? Au wanatulalia tu
Zanzibar wafanye wafanyavyo lakini mwisho wa siku Zanzibar haiwezii kuimeza Bara, maana Bara ni kubwa sana kwa Zanzibar!!
 
Kwanza, kero za Zanzibar zimemamalizwa kwa siri sana hakuna anayejua zimemalizwaje.
Tunachojua Wazanzibar wameridhika, sasa nani amesimama kwa maslahi ya Tanganyika?
Ahsante mkuu kwa ufafanuzi wa kina kabisa ulioufanya hapa.

Jambo la kwanza linaloshangaza katika yote haya, ni kuwa jambo muhimu kama hili la Muungano hata Bunge halihusishwi kabisa juu yake.

Baada ya kukusoma hapa, ninajiuliza, hivi kweli Samia anaweza kushinda uchaguzi wowote bila ya uchawi waliozoea kuufanya CCM? Wapiga kura wataelezwa nini kuhusu mambo kama haya yanayofanyika nje kabisa ya utaratibu wa serikali?

Labda nami niongeze 'hypothesis' ya kwa nini Zanzibar wajisikie kustahili upendeleo unaoonekana katika mgawanyo huu. Wao mara kwa mara husema serikali ya huko huchaguliwa Dodoma. Wao wanasema hawajawahi kuchagua serikali wanayoitaka. Kwa hiyo haya yanayofanyika ni kama kifuta jasho kwao. Obviously, sikubaliani na huko kwa wao kuchaguliwa serikali yao, kama nisivyokubali wao kupewa upendeleo zaidi ya raia wengine wote ndani ya Muungano.

Mwisho, tunapoona sarakasi zinazofanywa na serikali, na Samia kueleza hatakubali mambo 'controvercial', mambo yenyewe ndiyo haya wasiyotaka CCM yajadiliwe.
Hapo hapo inabidi kujiuliza: hivi HAKI na MARIDHIANO yanayolengwa kupatikana yatakuwa ya aina gani, wakati haya yakipiganiwa yasizungumzwe!
 
Habari zenu wakuu?
Kama nitamkwaza mtu naomba nisamehewe lakini siwezi kukaa kimya.

Serikali imetoa mpangilio wa matumizi ya mkopo wa IMF , Tsh Trillion 1.3 za kitanzania.

Kama ifuatavyo;

(i). Sekta ya maji- Billion 139.4
(ii). Elimu -Billion 368.9
(iii). Afya - Billion 90.2
(iv).Jamii yenye maisha duni - Billion 5.5
(v). Makundi maalum - Billion 5
(vi). Shughuli za uratibu - billion 5

(vii). SERIKALI YA ZANZIBAR - BILLION 231

********************************************

* Yani Tanzania bara tupo zaidi ya million 55 ila jamii yenye mazingira magumu inapewa billion 5 wakati kwa takwimu za harakaharaka nadhani inakadiriwa waTz wenye maisha duni ni zaidi ya million 7. ni dhahiri hiyo hela haitoshi kbsa maana hata watu wa tasafu wanalipwa kiduchuuuuuu.

*Zanzibar ina wakazi zaidi ya 1 million kwanini fedha zote hizi ziende kwao ilihali serikali ingepunguza walau billion 100 na kuzijaza kwenye yafuatayo...

-mikopo ya vijana yenye riba nafuu au 0% riba

-kuongeza hela kwenye hiyo bajeti ya afya ili hospitali za wilaya na zahanati za kata vijijini vikapata vifaa pungukiwa.

-basi jamani hata walimu kadhaa wajengeeni nyumba za kukaa hata mbili tatu za kuzuga na hyo bilion 100

HAYO NI BAADHI AMBAYO YAPO KICHWANI KWANGU ILA NAJUA KILA MTU ANA YAKE AKILINI.

Ni nini faida ya muungano kwa Tanzania bara?

mzalendo wa kweli.
Hapa kwetu lita ya mafuta ya kula imefika 9000
mkate- 1300
soda -700
mchele wa kawaida 1kg-2200

Chanzo ya picha ya budget -TBC
maoni yaliongezewa - Mzalendo wa kweli

Nawasilisha.

Ni sahihi acha ziende
 
Tulishavuka million 55 hivi sasa tupo million 60
 
Zanzibar ijipatie uwezo wa kukopa wenyewe.....maana wao makusanyo yao ya mwezi nahisi yanafika billion 100 tu kwa mwezi ...wakikopa mikopo mikubwa halafu washindwe kulipa watajua wao.

Ila sasa hivi kinachofanyika ni kama vile sisi Danganyika tunalipia jina tu la Tanzania kwa hawa Wazenji.
Ndo mana full grants za mara kwa mara zinaenda kule.

SWALI LANGU NI LILE LILE.

NI NINI FAIDA YA MUUNGANO KWA WABONGO??

Sent from my SM-M307F using JamiiForums mobile app
 
Huyu Sasa ni liability kwa Tanganyika na asset kubwa sana kwa Zanzibar. Mpaka ifike 2030 tutakoma!! Atatuachia deni kubwa la kulipa halafu anasepea Zenj na muungano unavunjika. Tunabaki na deni letu wananaki na Dubai yao!!
 
Kijana.

Kama kweli unataka kumsaidia Rais.

Mshauri aangalie swala la uchumi ukosefu wa fedha na ajira ni mkubwa.

Usimdanganye kwa kumsifia tu.

Mwambie ukweli.
Sasa wewe elimu huna unataka ajira gani ?!
 
Huyu Sasa ni liability kwa Tanganyika na asset kubwa sana kwa Zanzibar. Mpaka ifike 2030 tutakoma!! Atatuachia deni kubwa la kulipa halafu anasepea Zenj na muungano unavunjika. Tunabaki na deni letu wananaki na Dubai yao!!
Kama magufuli alivyotuachia Deni kubwa la Taifa kwa kuijenga Chatttle,,halafu yeye aka rest in ........
 
Back
Top Bottom