rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
Wenginee kazi zinaendaa tu bila mkataba wala baruaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Watu mko serious na mikataba[emoji28].
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenginee kazi zinaendaa tu bila mkataba wala baruaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Watu mko serious na mikataba[emoji28].
Anadhani anaonewaa ilaa Akienda mahakamani ndo atajua kijana alikuwa anampa Favour[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] elfu 50 kweli.aise yaani hukupaswa kubishana nae , kimya kimya mpatie hiyo laki na nusu muachana, ukiendelea kuzungusha halafu wakaja wajanja wakamshtua imekula kwako. mahakani utaingiliwa zaidi Hadi hutaamini .
yaani unamfungisha mkataba wa ajira wa elfu 50 kwa mwezi , hapo ulijichanganya Sana .
Yaani ni uza hapa akizingua sepa😅😅Wenginee kazi zinaendaa tu bila mkataba wala baruaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dah! Kule kwingine bado hatujamalizana na wale Waarab wa DP World wanaotaka kumilikishwa bandari yetu!!Watu mko serious na mikataba😅.
Wanajamvi habarini za asubuhi,
Nilifunga mkataba na muuza duka wangu kwa ajili ya kazi ya duka langu.
Mkataba tuliufunga kwa mtendaji wa kijiji tarehe 7.1.2020.
Mkataba ulikuwa na mashahidi upande wake na mimi.
Pia alidhaminiwa na mtu mmoja mwenye mali zisizohamishika.
Tulikubaliana nitakuwa namlipa tsh 50,000/= kwa mwezi.
Kwa kuwa nina kamgahawa tulikubaliana atakula hotelini kwangu ugali samaki au nyama mara mbili kwa wiki, na siku zingine wali maharage na mbogamboga angepewa kama zitakuwepo.
Pia kwa kuwa alikuwa anatokea wilaya nyingine tulikubaliana nimpe makazi, kitanda na neti na kiwe na umeme ambapo nagharamika mimi.
Makubaliano tulivyoandikishana ilikuwa kwamba nisiporidhika na utendaji wake nina haki ya kumwachisha kazi na niwe nimemlipa malipo yake yote ya 50,000 kwa kila mwezi.
Kwa kuwa utendaji wa kijana umekuwa duni sana na imeshindikana kujirekebisha nimeamua kumwachisha kibarua.
Sasa kijana ananivimbia eti siwezi kumwachisha kazi ghafla bila kumpa mafao ya kuacha kazi na atanishtaki labda nimpe malipo ya miezi mitatu (150,000) ili ajipange kupata kazi sehemu nyingine.
Sheria ya ajira za namna hii inasemaje ndugu wana JamiiForums?
Lukonge
Sheria za ajira zinaweza kuwa ngumu na usizoziweza, hapo la maana ni mlilokubaliana. Akupeleke huko anakotaka, kama mliwekeana mkataba na wewe ndio unaoufuata, kwa nini sasa hivi ndio unataka sheria za ajira?Wanajamvi habarini za asubuhi,
Nilifunga mkataba na muuza duka wangu kwa ajili ya kazi ya duka langu.
Mkataba tuliufunga kwa mtendaji wa kijiji tarehe 7.1.2020.
Mkataba ulikuwa na mashahidi upande wake na mimi.
Pia alidhaminiwa na mtu mmoja mwenye mali zisizohamishika.
Tulikubaliana nitakuwa namlipa tsh 50,000/= kwa mwezi.
Kwa kuwa nina kamgahawa tulikubaliana atakula hotelini kwangu ugali samaki au nyama mara mbili kwa wiki, na siku zingine wali maharage na mbogamboga angepewa kama zitakuwepo.
Pia kwa kuwa alikuwa anatokea wilaya nyingine tulikubaliana nimpe makazi, kitanda na neti na kiwe na umeme ambapo nagharamika mimi.
Makubaliano tulivyoandikishana ilikuwa kwamba nisiporidhika na utendaji wake nina haki ya kumwachisha kazi na niwe nimemlipa malipo yake yote ya 50,000 kwa kila mwezi.
Kwa kuwa utendaji wa kijana umekuwa duni sana na imeshindikana kujirekebisha nimeamua kumwachisha kibarua.
Sasa kijana ananivimbia eti siwezi kumwachisha kazi ghafla bila kumpa mafao ya kuacha kazi na atanishtaki labda nimpe malipo ya miezi mitatu (150,000) ili ajipange kupata kazi sehemu nyingine.
Sheria ya ajira za namna hii inasemaje ndugu wana JamiiForums?
Lukonge
Haswaaa uko sahihiNikweli unapaswa kumpa kiunua mgongo kwani amekutumia tangu mwaka 2020 mpa leo.Kitaalamu ulipaswa umpe mkataba wa miezi mitatu mitatu ili kuepuka kumpa kiinua mgongo cha kufanya mpe hiyo 150 muachane tu ila akienda kukushtaki kwenye swala la kazi utalazimika kumlipa zaidi ya hiyo.Me nimuajiriwa niko serikalini taratibu za kazi nazijua
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Sheria ipi inasema hivyo mkuu, unaweza kuiweka hapa na sisi tujielimishe zaidiSheria inataka umpetaarifa yakumuachisha kazi miez mitatu kabla then umlipe miez yote ilibaki mkataba uixhe. Akikuxhtak nixhida maan pia 50k nichin ya kima chachin chamxhahar
Kwanza mbna kadai ndogo, ilibidi 1M Kabisaa.Ninachokijua,kama unamuachisha kazi ni lazima umpe hiyo pesa atakayo,,
Kama angeacha yeye angekulipa wewe,,,
Mpe hiyo 150,000
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Habari!Wanajamvi habarini za asubuhi,
Nilifunga mkataba na muuza duka wangu kwa ajili ya kazi ya duka langu.
Mkataba tuliufunga kwa mtendaji wa kijiji tarehe 7.1.2020.
Mkataba ulikuwa na mashahidi upande wake na mimi.
Pia alidhaminiwa na mtu mmoja mwenye mali zisizohamishika.
Tulikubaliana nitakuwa namlipa tsh 50,000/= kwa mwezi.
Kwa kuwa nina kamgahawa tulikubaliana atakula hotelini kwangu ugali samaki au nyama mara mbili kwa wiki, na siku zingine wali maharage na mbogamboga angepewa kama zitakuwepo.
Pia kwa kuwa alikuwa anatokea wilaya nyingine tulikubaliana nimpe makazi, kitanda na neti na kiwe na umeme ambapo nagharamika mimi.
Makubaliano tulivyoandikishana ilikuwa kwamba nisiporidhika na utendaji wake nina haki ya kumwachisha kazi na niwe nimemlipa malipo yake yote ya 50,000 kwa kila mwezi.
Kwa kuwa utendaji wa kijana umekuwa duni sana na imeshindikana kujirekebisha nimeamua kumwachisha kibarua.
Sasa kijana ananivimbia eti siwezi kumwachisha kazi ghafla bila kumpa mafao ya kuacha kazi na atanishtaki labda nimpe malipo ya miezi mitatu (150,000) ili ajipange kupata kazi sehemu nyingine.
Sheria ya ajira za namna hii inasemaje ndugu wana JamiiForums?
Lukonge
Hii chai, kazi duni toka 2020 na wewe mfanyabiashara ukavumilia, uongo mkubwa.Wanajamvi habarini za asubuhi,

Kima cha chini cha mshahara kwa sasa ni laki 2,, akienda mbele itabidi kwa miezi yote aliyokaa kwako itabidi umuongezee 150,000
Ndo Mkataba Tanzania tunataka kuingia na hawa DPWanajamvi habarini za asubuhi,