Muuza madawa ya kulevya maarufu wa Magomeni "Beka Ranger" akamatwa na polisi


na mimi nimepata taarifa kuwa kakamatiwa malaysia..kuna mtu alikuwa chipolopolo bar opp na delux magomeni amenitonya
 
Last edited by a moderator:
halafu wewe mbona unakurupuka sana?

Naona wewe ndiye uliyekurupuka, unakuja saa mbili ya usiku wakati post namba imeshafanyiwa marekebisho halafu unanambia mimi nakupuruka? Unanchekesha!
 

Katazame uliongea nini nikakwambia shut up?
 
Hii serikali ya kisenge sana, kuna mijitu inaìtwa polisi na usalama wa mavi haifanyi kaz yoyote kazi kutunisha matako tu. Inakuwaje wauza unga wanafahamika mpka mtaani na hawakamatwi? Mijitu inakula mshahara bure vjana wetu wanaangamia, nchi inadhakilika haya majamaa ya serikali yapo yanatunisha makende tu.
 

ni kweli unachosena ila lazima ufahamu kuwa ni kazi kubwa sana kupambana na wauza madawa.
rais alipewa list ya wauza ungaa hawa wote....lakini hakuna jitihada zilizofanyika lakini wauza unga hawa hawa ambao walitajwa leo hii ndyo wanakamatwa kama kuku...ndani ya nchi na nje ya nchi....mfano shkuba, chonji, haya tumeskia beka ranger....na bado watazidi kuishaaaa hawa wapuuzi
 
Katazame uliongea nini nikakwambia shut up?

Unani shut-isha up vipi wewe bibi, Paw mwenyewe hana noma, unachooooooonga, watu tunaongea kwa uhuru wetu.

ukinipiga umenionea kwa sababu tetesi ni za ukweli, ukiniacha umeniogopa!!!!!!! Haya twende sasa, puta mchanga kama kweli una nguvu.
 
Last edited by a moderator:
mkuu Ranger amekamatwa kweli na amekamatiwa Maleysia ila kasafirishwa kwenda Cuba serikali ya Marekani ilikuwa inamtafuta kimyakimya ni mdogo wake kiongozi wa zamani wa Yanga Iman Madega

Sipingi suala la kukamatwa mkuu, ila jamaa alivyoandika hii stori alikuwa amechanganya changanya sana mambo haswa pale alipotaja Guantanamo...
 
Mwenye picha ya beka ranger tafadhli aiweke hapa itasaidia kuepusha usumvufu kwa wale wasiojua tofauti ya beka ranger na tevez
 
beka hana sifa za kuwekwa guantanamo.na wala hakuna tetesi kaka hiyo labda malaysia
 
Auliweeeeeeee tena anyongwe mara moja au apigwe risas za kichwa 3
 
mkuu Ranger amekamatwa kweli na amekamatiwa Maleysia ila kasafirishwa kwenda Cuba serikali ya Marekani ilikuwa inamtafuta kimyakimya ni mdogo wake kiongozi wa zamani wa Yanga Iman Madega

Marekani wamemtafuta kimya kimya,
Tanzania walimficha licha ya jina kutua Ikulu.
 

DUUU,yaani hadi USA walikuwa wanamsaka? inaonekana ni jembe kweli kweli. hayayetu macho.
najiuliza, kama USA walikuwa wakimsaka kwanini hakuweza kukamatiwa hapa bongo maana mtoa mada inaonekana anamfahamu hadi maeneo yake ya kujidai,tatizo lipi hadiakamatiwe huko alikokamatiwa?
 

tanzania si watu wanalindanaaa...yawezekana pia labda katika wake punda zake wanaposhikwa kila mtu ana mtaja beka beka beka ...wao wanamuweka huyo beka kiporo wanakujaa kukipasha na kukilaaa
 
Yaani huyu jamaa kameza kete tumboni ndiyo anatafutwa na serikali ya Marekani.

Teh teh teh
 
Last edited by a moderator:
Acha uongo mkuu, Guantanamo iko Cuba lakini haiko katika mamlaka ya Cuba kama nchi.
Lile ni gereza chini ya utawala wa Marekani, na its not open for public.
Hii inaifanya stori yako kuwa ya kughushi.
masopakyindi mkuu yaani nimekuwa nikiwaza na kuwazua kwa nini Marekani na Cuba ni maji na moto ila Cuba wakatoa eneo la Guantanamo liwe eneo linalotumiwa na Marekani kwa ajili ya wafungwa wanaohusika na ugaidi.Kama kweli Cuba na Marekani hawaelewani kwa nini ilikuwa rahisi Cuba kuwapa Wamerekani hilo eneo la Guantanamo? Please nisadie nielewe na mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…