Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana bodi, nimepata taarifa ambazo sijaweza kuzithibitisha moja kwa moja kuwa muuza madawa ya kulevya maarufu sana magomeni mapipa ajulikanaye kwa jina la Beka (beka range) ameng'ang'aniwa na polisi nchini Cuba.
Habari zimetua Deluxe bar maeneo maarufu ya Magomeni jana zinasema, Beka safari hii alikuwa amemeza kete kibao yeye mwenyewe hakutaka kumpa "punda" mzigo huo.
Habari hii ikithibitika kuwa kweli itakuwa ni faraja kwa wazazi kwani kuna watoto wanaweza kuliepuka janga la kutumia madawa ya kulevya.
Habari za kuthibitisha ama kukanusha zinakaribishwa zikiwa na maelezo ya kina kidogo.
Naomba kuwasilisha.
===============UPDATE===============
IMETHIBITISHWA
Cc. Mzee Mwanakijiji
halafu wewe mbona unakurupuka sana?
FaizaFoxy acha matusi ya kirejareja, kuninyamazisha jukwaani where we dare to talk openly ni sawa na kunitusi, haujaridhika unahusianisha uandishi wangu na "utumbo"
Yaani huu huu tunaoufahamu kuwa unahifadhi maví pamoja uchafu mwingine halafu Invisible anakuangalia tu!!!!
Haya umeshathibitishiwa kuwa beka ranger kakamatwa na amepelekwa guantanamo, kati ya mimi na wewe nani kaongea utumbo aka kinyesi alias mbolea.
Hii serikali ya kisenge sana, kuna mijitu inaìtwa polisi na usalama wa mavi haifanyi kaz yoyote kazi kutunisha matako tu. Inakuwaje wauza unga wanafahamika mpka mtaani na hawakamatwi? Mijitu inakula mshahara bure vjana wetu wanaangamia, nchi inadhakilika haya majamaa ya serikali yapo yanatunisha makende tu.
Katazame uliongea nini nikakwambia shut up?
mkuu Ranger amekamatwa kweli na amekamatiwa Maleysia ila kasafirishwa kwenda Cuba serikali ya Marekani ilikuwa inamtafuta kimyakimya ni mdogo wake kiongozi wa zamani wa Yanga Iman Madega
beka hana sifa za kuwekwa guantanamo.na wala hakuna tetesi kaka hiyo labda malaysia
mkuu Ranger amekamatwa kweli na amekamatiwa Maleysia ila kasafirishwa kwenda Cuba serikali ya Marekani ilikuwa inamtafuta kimyakimya ni mdogo wake kiongozi wa zamani wa Yanga Iman Madega
Wana bodi, nimepata taarifa ambazo sijaweza kuzithibitisha moja kwa moja kuwa muuza madawa ya kulevya maarufu sana magomeni mapipa ajulikanaye kwa jina la Beka (beka range) ameng'ang'aniwa na polisi nchini Cuba.
Habari zimetua Deluxe bar maeneo maarufu ya Magomeni jana zinasema, Beka safari hii alikuwa amemeza kete kibao yeye mwenyewe hakutaka kumpa "punda" mzigo huo.
Habari hii ikithibitika kuwa kweli itakuwa ni faraja kwa wazazi kwani kuna watoto wanaweza kuliepuka janga la kutumia madawa ya kulevya.
Habari za kuthibitisha ama kukanusha zinakaribishwa zikiwa na maelezo ya kina kidogo.
Naomba kuwasilisha.
===============UPDATE===============
IMETHIBITISHWA
Cc. Mzee Mwanakijiji
DUUU,yaani hadi USA walikuwa wanamsaka? inaonekana ni jembe kweli kweli. hayayetu macho.
najiuliza, kama USA walikuwa wakimsaka kwanini hakuweza kukamatiwa hapa bongo maana mtoa mada inaonekana anamfahamu hadi maeneo yake ya kujidai,tatizo lipi hadiakamatiwe huko alikokamatiwa?
Yaani huyu jamaa kameza kete tumboni ndiyo anatafutwa na serikali ya Marekani.Wana bodi, nimepata taarifa ambazo sijaweza kuzithibitisha moja kwa moja kuwa muuza madawa ya kulevya maarufu sana magomeni mapipa ajulikanaye kwa jina la Beka (beka range) ameng'ang'aniwa na polisi nchini Cuba.
Habari zimetua Deluxe bar maeneo maarufu ya Magomeni jana zinasema, Beka safari hii alikuwa amemeza kete kibao yeye mwenyewe hakutaka kumpa "punda" mzigo huo.
Habari hii ikithibitika kuwa kweli itakuwa ni faraja kwa wazazi kwani kuna watoto wanaweza kuliepuka janga la kutumia madawa ya kulevya.
Habari za kuthibitisha ama kukanusha zinakaribishwa zikiwa na maelezo ya kina kidogo.
Naomba kuwasilisha.
===============UPDATE===============
IMETHIBITISHWA
Cc. Mzee Mwanakijiji
masopakyindi mkuu yaani nimekuwa nikiwaza na kuwazua kwa nini Marekani na Cuba ni maji na moto ila Cuba wakatoa eneo la Guantanamo liwe eneo linalotumiwa na Marekani kwa ajili ya wafungwa wanaohusika na ugaidi.Kama kweli Cuba na Marekani hawaelewani kwa nini ilikuwa rahisi Cuba kuwapa Wamerekani hilo eneo la Guantanamo? Please nisadie nielewe na mimiAcha uongo mkuu, Guantanamo iko Cuba lakini haiko katika mamlaka ya Cuba kama nchi.
Lile ni gereza chini ya utawala wa Marekani, na its not open for public.
Hii inaifanya stori yako kuwa ya kughushi.