Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,652
Habari zimefikia bar!! karibuni walevi kwa mjadala.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh kwa Sheria za Cuba kama ni kweli ndo kapotea huyo!!, hakuna game kama walizofanya kina Masogange...
Umesema habari za kudhibitisha au kukanusha zinakaribishwa meaning huna uhakika na habari yako.
Kwa hiyo badala ya kuwakosoa wale wanahoji walakini kwenye habari yako tulia.
Itakuwa ni redio mbao ili msimkumbuke tena...
Unaweza kukuta jamaa kaweka kambi mkoani huko anaendelea na dili za sembe kama kawaida...
Habari zimefikia bar!! karibuni walevi kwa mjadala.
mkuu Ranger amekamatwa kweli na amekamatiwa Maleysia ila kasafirishwa kwenda Cuba serikali ya Marekani ilikuwa inamtafuta kimyakimya ni mdogo wake kiongozi wa zamani wa Yanga Iman Madega
Duh,kaz hyo
hizi picha ndio huyo beka...!?
Sheria za Cuba zinasemaje?
Una uhakika gani kuwa kuna Mbongo kadakwa Cuba na sembe?
Mkuu jazia nyama tena yenye mafuta.