Muuza madawa ya kulevya maarufu wa Magomeni "Beka Ranger" akamatwa na polisi

Muuza madawa ya kulevya maarufu wa Magomeni "Beka Ranger" akamatwa na polisi

Duh kwa Sheria za Cuba kama ni kweli ndo kapotea huyo!!, hakuna game kama walizofanya kina Masogange...

Sheria za Cuba zinasemaje?

Una uhakika gani kuwa kuna Mbongo kadakwa Cuba na sembe?
 
Umesema habari za kudhibitisha au kukanusha zinakaribishwa meaning huna uhakika na habari yako.

Kwa hiyo badala ya kuwakosoa wale wanahoji walakini kwenye habari yako tulia.

Nawajibu kwa sababu wanakosoa uandishi, na wala si habari yenyewe, atokee atakayesema tulikuwa na beka leo mchana vingunguti atakuwa amekanusha tetesi hizi, ama sivyo tunasubiri uthibitisho.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Itakuwa ni redio mbao ili msimkumbuke tena...

Unaweza kukuta jamaa kaweka kambi mkoani huko anaendelea na dili za sembe kama kawaida...

mkuu Ranger amekamatwa kweli na amekamatiwa Maleysia ila kasafirishwa kwenda Cuba serikali ya Marekani ilikuwa inamtafuta kimyakimya ni mdogo wake kiongozi wa zamani wa Yanga Iman Madega
 
Sheria za Cuba zinasemaje?

Una uhakika gani kuwa kuna Mbongo kadakwa Cuba na sembe?

Hili ni swali limeenda shule, sikusema kuwa nina uhakika, nimesema hizi ni tetesi.
 
mkuu Ranger amekamatwa kweli na amekamatiwa Maleysia ila kasafirishwa kwenda Cuba serikali ya Marekani ilikuwa inamtafuta kimyakimya ni mdogo wake kiongozi wa zamani wa Yanga Iman Madega

Mkuu jazia nyama tena yenye mafuta.
 
Then shut up. Unaleta ubishi wa kitu usichokijuwa?

Kama "Then shut up" ni tusi basi MWENYEWE!!!!!!!!
Unataka kunituka kwa kidhungu huku Invisible wanaangalia, na mimi sikubali
 
Last edited by a moderator:
FaizaFoxy tafadhali rejea kwenye mada sasa maana tumekwishathibitishiwa kuwa ni kweli beka amekamatwa na yupo kwenye gereza nchini cuba.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu jazia nyama tena yenye mafuta.

ni mshirika wa karibu sana wa babu mtama mchungu na huyu ktk watu waliowahi kutajwa na wafungwa wa madawa ya kulevya na yy jina lake lipo
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Aliekatwa ndude ni teves
Kisa kadhulumu poda ya watu hukoo sauz
 
Back
Top Bottom