Muwe na Huruma au Ubinadamu hata kidogo, mnapoomba hela

Muwe na Huruma au Ubinadamu hata kidogo, mnapoomba hela

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,762
Reaction score
32,386
Mtu anakutumia msg naomba pesa kiasi flani. Unamwambia subiri nina mgonjwa nimemleta Hospital. Anajibu
"Haya"

Kesho yake anakutumia
"mbona kimya?"

Unamwambia jana ulirudi late sana yule mgonjwa ambaye ni mzazi wako amelazwa. Anakujibu
"Pole. Nitumie ile pesa kwenye namba hii 06xxxx7654

Kisha baada ya dakika kadhaa anakutumia text nyingine

"Vipi ile pesa nliomba unanitumia au hunitumii?"

Unawaza huyu mwanamke ana akili kweli? Ana Utu au Ubinadamu? Huu ni ubinafsi wa kiwango cha juu sana.
 
Tatizo ni wewe. Unapaswa kuwa mkweli. Ulimwambia una mgonjwa na ukamwahidi nitakumia ulipaswa kumjibu nina mgonjwa na nina matumizi ya mgonjwa SINA HELA.
Tatizo lenu mnashindwa kuwa straight .... kama huna sema sina.
akakuuliza tena unanitumia au hunitumii..... unahindwa nini kujibu... eti unakaa unajiuliza! MJIBU SIKUTUMII. unajiona aibu kuonekana huna hela 😀 😀 😀 matatizo mnayatengenezaga wenyewe kwa kutojiamini.
 
Jijapambanie mwenyewe, Wanawake wabinafsi. Kamwe awezi Jua shida zako. Pia kua street mueleze hauna pesa, kama kukuacha akuche tu. Kama K utapata kwa wanawake Wengine, kwani K anayo yeye tu Dunia nzima.
 
Tafuta hela ili kuepukana na haya matatizo yasiyokua na ulazima,
Au mwambie aliyekuomba kua huna hela,
unakerwa coz hujiweki wazi,unajificha ficha kwa lugha za ulaghai,

Be yourself,acha kuishi maisha ya maigizo au kumuogopa mtu,life is very short.
 
Mtu anakutumia msg naomba pesa kiasi flani. Unamwambia subiri nina mgonjwa nimemleta Hospital. Anajibu
"Haya"

Kesho yake anakutumia
"mbona kimya?"

Unamwambia jana ulirudi late sana yule mgonjwa ambaye ni mzazi wako amelazwa. Anakujibu
"Pole. Nitumie ile pesa kwenye namba hii 06xxxx7654

Kisha baada ya dakika kadhaa anakutumia text nyingine

"Vipi ile pesa nliomba unanitumia au hunitumii?"

Unawaza huyu mwanamke ana akili kweli? Ana Utu au Ubinadamu? Huu ni ubinafsi wa kiwango cha juu sana.
Mtumie kwa sababu na yeye anasumbuliwa na mpenzi wa moyo wake kuhusu hela. MTUMIE ILI AMTUMIE
 
Tafuta hela ili kuepukana na haya matatizo yasiyokua na ulazima,
Au mwambie aliyekuomba kua huna hela,
unakerwa coz hujiweki wazi,unajificha ficha kwa lugha za ulaghai,

Be yourself,acha kuishi maisha ya maigizo au kumuogopa mtu,life is very short.
THREAD CLOSED... NO MORE REPLIES...
 
Back
Top Bottom