Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
za kujitakiaSi umuache tu, aisee kuna wanaume mna changamoto sana.
Mtumie kwa sababu na yeye anasumbuliwa na mpenzi wa moyo wake kuhusu hela. MTUMIE ILI AMTUMIEMtu anakutumia msg naomba pesa kiasi flani. Unamwambia subiri nina mgonjwa nimemleta Hospital. Anajibu
"Haya"
Kesho yake anakutumia
"mbona kimya?"
Unamwambia jana ulirudi late sana yule mgonjwa ambaye ni mzazi wako amelazwa. Anakujibu
"Pole. Nitumie ile pesa kwenye namba hii 06xxxx7654
Kisha baada ya dakika kadhaa anakutumia text nyingine
"Vipi ile pesa nliomba unanitumia au hunitumii?"
Unawaza huyu mwanamke ana akili kweli? Ana Utu au Ubinadamu? Huu ni ubinafsi wa kiwango cha juu sana.
THREAD CLOSED... NO MORE REPLIES...Tafuta hela ili kuepukana na haya matatizo yasiyokua na ulazima,
Au mwambie aliyekuomba kua huna hela,
unakerwa coz hujiweki wazi,unajificha ficha kwa lugha za ulaghai,
Be yourself,acha kuishi maisha ya maigizo au kumuogopa mtu,life is very short.