Muwe na Huruma au Ubinadamu hata kidogo, mnapoomba hela

Sema sina , ukisema ntakupa utasumbuliwa, Be straight man
 
Ogopa sana mwanamke anayecheza vikoba halafu kipato chake ukiangalia hakina uwezo.
 
Kuna mmoja aliniambia "Nimemwambia Mama nitampa elfu 20 naomba nitumie elfu 20 nimtumie Mama" nikamwambia na mimi nimemwambia Mama yangu ntamtumia Elfu 30 nitumie nimtumie
 
Ukiona hivyo ujue wewe una matatizo Yani kiti Cha mkono wa kiume hujakikalia vizuri au umependa sehemu ambayo haupendeki hakikisha 1. Kuwa mwanaume kamili
2. Penda unapopendeka tu angalia viwango vyako
 
Kuna mmoja aliniambia "Nimemwambia Mama nitampa elfu 20 naomba nitumie elfu 20 nimtumie Mama" nikamwambia na mimi nimemwambia Mama yangu ntamtumia Elfu 30 nitumie nimtumie
Mademu wengi Mama zao nao ombaomba hasa Mtu mama yake anajua mwanae hana kazi anamuomba elfu 50 anatakaje
 
Wanaume tunapitia magumu, sometimes unasema bora uwe single😅
 
Shingap uliombwa kwanza......
 
Mkuu unaweza usiulizwe hata habari za msiba wa mzazi wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…