nsanzu JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 4,953 Reaction score 5,829 Aug 14, 2025 #41 Econometrician said: Unaanzaje kujibu hivyo huku hujapata mzigo Click to expand... Mzigo unakuzid mabegani utue. Tofauti na hivyo waweza teguka pingili za uti wa mgongo au nyonga
Econometrician said: Unaanzaje kujibu hivyo huku hujapata mzigo Click to expand... Mzigo unakuzid mabegani utue. Tofauti na hivyo waweza teguka pingili za uti wa mgongo au nyonga
Samia atosha tukutane2030 JF-Expert Member Joined Apr 7, 2020 Posts 17,728 Reaction score 49,762 Aug 14, 2025 #42 Shetani akishika ufahamu wa mtu automatically uwezo wa huyo mtu kufikiri na kuchakata taarifa unakuwa collapse. Vijana wengi wa kike na kiume shetani amewaharibu akili
Shetani akishika ufahamu wa mtu automatically uwezo wa huyo mtu kufikiri na kuchakata taarifa unakuwa collapse. Vijana wengi wa kike na kiume shetani amewaharibu akili
Chizi Maarifa JF-Expert Member Joined Jul 29, 2013 Posts 14,762 Reaction score 32,386 Aug 15, 2025 Thread starter #43 Mvinyo mpya said: Mkuu unaweza usiulizwe hata habari za msiba wa mzazi wako Click to expand... Kabisa. Akaulizia pesa tu.
Mvinyo mpya said: Mkuu unaweza usiulizwe hata habari za msiba wa mzazi wako Click to expand... Kabisa. Akaulizia pesa tu.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Aug 29, 2025 #44 Pole sana, sem tu sina basi... Cc: Mahondaw