Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwiiiii,siku akifanya hivyo nitapotea JF wiki nzima!
article nzuri sana na ingewasaidia hao walengwa kama watapita huku
cc: Matola Chinga One Mdakuzi Paula kilaki Dinazarde Innocizzy Heaven on Earth
sijui why mleta mada kachagua hiyo picha,20% hapo alikuwa kwenye mazishi ya mzazi wake si unaona hata sura ya huzuni,hii thread ina ukweli ila mleta mada ana lengo lake kwanza anaonekana ni team wasafi mpaka anashuka na kamba kwenye helicopta yeye na diamond dar live,yeye anatumika akiombwa na diamond kukutanisha ashindanishwe na msanii mwingine,we unaombwa msanii umkutanishe na mimi hapo lazima mna lenu.
Nakubali diamond anajitihada ila mleta mada kasahau kuelezea scandal chafu za diamond ambazo anazitumia ili avume:
1.kubaki na vyupi halafu kubong'oa ye na dancers wake,lazima watu wa udaku watasambaza.
2.wananyonyana mate na wema halafu wanavujisha picha
3.project na zari
4.mara peni
5.acha hivi vidagaa vya kufunua ambavyo havisikiki
6.skendo chafu video nayo inatolewa hapo hapo.
HAYO MAMBO YOTE KIBA HANA na hajashuka kimziki hata leo
unachekesha sana unashindwa kujituma unasingizia chama cha siri! kaa hivyo hivyo na mawazo mgando watu wanapiga pesa na mwisho wa siku mnakaa vijiweni kuwasema ni freemasonsKuna tetesi kuwa, Ali Kiba aliwagomea kuingia kile chama cha siri, na sasa wamejidhatiti kumchafua.
From my heart, 20% namheshimu sana.
^^
mleta mada yuko sahihi 20 per cent amechezea nafasi na bahati ukweli mi inaniuma saana, nafikiri afande sele amempoteza, hizi bangi ni mbaya saana, mi namkubali saana 20 ujinga wake umemrostisha, ni mwanamuziki wa bongo pekee /bongo flavor ambaye nina kanda na cd/ dvds zake :A S-rap:sijui why mleta mada kachagua hiyo picha,20% hapo alikuwa kwenye mazishi ya mzazi wake si unaona hata sura ya huzuni,hii thread ina ukweli ila mleta mada ana lengo lake kwanza anaonekana ni team wasafi mpaka anashuka na kamba kwenye helicopta yeye na diamond dar live,yeye anatumika akiombwa na diamond kukutanisha ashindanishwe na msanii mwingine,we unaombwa msanii umkutanishe na mimi hapo lazima mna lenu.
Nakubali diamond anajitihada ila mleta mada kasahau kuelezea scandal chafu za diamond ambazo anazitumia ili avume:
1.kubaki na vyupi halafu kubong'oa ye na dancers wake,lazima watu wa udaku watasambaza.
2.wananyonyana mate na wema halafu wanavujisha picha
3.project na zari
4.mara peni
5.acha hivi vidagaa vya kufunua ambavyo havisikiki
6.skendo chafu video nayo inatolewa hapo hapo.
HAYO MAMBO YOTE KIBA HANA na hajashuka kimziki hata leo
20 percent sikatai ila kwa alikiba bado siafikimleta mada yuko sahihi 20 per cent amechezea nafasi na bahati ukweli mi inaniuma saana, nafikiri afande sele amempoteza, hizi bangi ni mbaya saana, mi namkubali saana 20 ujinga wake umemrostisha, ni mwanamuziki wa bongo pekee /bongo flavor ambaye nina kanda na cd/ dvds zake :A S-rap: