Muziki kama Pesa: Iga Akili ya Diamond, Usiige ubongo wa 20%

Asante sana MR. CONFIDENT kwa article hadimu kama hii. Ni mara chache sana kukuta kitu kama hii kwenye juu kwaa hili. Sometimes tunahitaji vitu kama hivi kuona umuhimu wa jamii forum maake humu siku hizi wamejaa HATERS na mashabiki maandazi katika kila jambo.

Last edited by a moderator:
Ila 20% anahitaji msaada mkubwa kisaikolojia aisee. Duh
 
Andiko zuri sana. Linafaa kwa kila mtu awe mwanamuziki, mcheza filamu na kadhalika.
 
Kuna tetesi kuwa, Ali Kiba aliwagomea kuingia kile chama cha siri, na sasa wamejidhatiti kumchafua.
From my heart, 20% namheshimu sana.
^^
 
sijui why mleta mada kachagua hiyo picha,20% hapo alikuwa kwenye mazishi ya mzazi wake si unaona hata sura ya huzuni,hii thread ina ukweli ila mleta mada ana lengo lake kwanza anaonekana ni team wasafi mpaka anashuka na kamba kwenye helicopta yeye na diamond dar live,yeye anatumika akiombwa na diamond kukutanisha ashindanishwe na msanii mwingine,we unaombwa msanii umkutanishe na mimi hapo lazima mna lenu.
Nakubali diamond anajitihada ila mleta mada kasahau kuelezea scandal chafu za diamond ambazo anazitumia ili avume:
1.kubaki na vyupi halafu kubong'oa ye na dancers wake,lazima watu wa udaku watasambaza.
2.wananyonyana mate na wema halafu wanavujisha picha
3.project na zari
4.mara peni
5.acha hivi vidagaa vya kufunua ambavyo havisikiki
6.skendo chafu video nayo inatolewa hapo hapo.

HAYO MAMBO YOTE KIBA HANA na hajashuka kimziki hata leo

uzuri mtu unatoa comment mwishoe unajulikana true color yako
 
Kuna tetesi kuwa, Ali Kiba aliwagomea kuingia kile chama cha siri, na sasa wamejidhatiti kumchafua.
From my heart, 20% namheshimu sana.
^^
unachekesha sana unashindwa kujituma unasingizia chama cha siri! kaa hivyo hivyo na mawazo mgando watu wanapiga pesa na mwisho wa siku mnakaa vijiweni kuwasema ni freemasons
 
sijui why mleta mada kachagua hiyo picha,20% hapo alikuwa kwenye mazishi ya mzazi wake si unaona hata sura ya huzuni,hii thread ina ukweli ila mleta mada ana lengo lake kwanza anaonekana ni team wasafi mpaka anashuka na kamba kwenye helicopta yeye na diamond dar live,yeye anatumika akiombwa na diamond kukutanisha ashindanishwe na msanii mwingine,we unaombwa msanii umkutanishe na mimi hapo lazima mna lenu.
Nakubali diamond anajitihada ila mleta mada kasahau kuelezea scandal chafu za diamond ambazo anazitumia ili avume:
1.kubaki na vyupi halafu kubong'oa ye na dancers wake,lazima watu wa udaku watasambaza.
2.wananyonyana mate na wema halafu wanavujisha picha
3.project na zari
4.mara peni
5.acha hivi vidagaa vya kufunua ambavyo havisikiki
6.skendo chafu video nayo inatolewa hapo hapo.

HAYO MAMBO YOTE KIBA HANA na hajashuka kimziki hata leo
mleta mada yuko sahihi 20 per cent amechezea nafasi na bahati ukweli mi inaniuma saana, nafikiri afande sele amempoteza, hizi bangi ni mbaya saana, mi namkubali saana 20 ujinga wake umemrostisha, ni mwanamuziki wa bongo pekee /bongo flavor ambaye nina kanda na cd/ dvds zake :A S-rap:
 
20 percent sikatai ila kwa alikiba bado siafiki
 
Si mlishawashindanisha kwenye fiesta ? Na jibu mkalipata !

20% media zinambania kiukweli anatoa nyimbo nzuri mpka kesho ila nazckia TBC tu
 
Awashukuru sana freemason bila wao dia mond tusinge mjua

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom