Muziki kutoka nchini Zaire (sasa ni D.R.C) uliwezaje kutamalaki na kupendwa sana hapa Tanzania ilhali tumepakana na jirani wengine takribani 6?

Kinshasa makambo maana ake ni nini?

makambo maana yake “Tabu/matatizo” sasa hapo wanasema kinshasa makambo ngai mwana moto (kinshasa ina matatizo ,mimi mtoto wa mtu)
katika huo wimbo “Ngugi” Franco anawafananisha watu wa kinshasa na mbu wa jinsi wanavyoongea kwa kumsema anasema , hii ni True story maana watu wa kinshasa walimsema mno mara mchawi nk sasa akawa analalamika kwenye nyimbo zake nyingi mfano kuna moja inaitwa kimpa kisangameni anasema “swela obota ngai, ngai makila mabe mama” akimaanisha kwamba (swela umenizaa na damu mbaya)
 
Swela ni mamaake?

Huu wimbo wa kusangameni ninao kwenye gari yangu, franco alikuwa anafika balaa
 
Weeeee[emoji1][emoji1]

Nae mara ghafla akawa mariooo?[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1787]

Binadamu ni kiumbe anayependa kuona kasoro za wenzie kuliko zake
Yeap ndio maana ya vice versa... Anasema "Bapapa na miso ya soixante-dix ans bazuaka bana ya" Mbaba wa miaka 70 anadate na msichana wa miaka 18[emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
 
Koffi maisha mengi ni Paris aka Pahis... Mfananao kwenye vocals etc unachanganya sana watu.

Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
 
Mtoto wa baba sana na ninapokuambia ni roho ya Koffi just know that... They're like twins

Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
 
Hilo zee lilikuwa linajua sana kuna mmoja unaitwa
Yajaa sijui ndo huo ya jean?

Naskia alikufa kwa ukimwi
 
Swela ni mamaake?

Huu wimbo wa kusangameni ninao kwenye gari yangu, franco alikuwa anafika balaa

ndio ni mama yake, alimpenda sana mama yake
yeah huyo mzee ni noma sana,Guitar lake liliuzwa miaka ya hivi karibuni na mwanae watu wenye hela wakanunua
 
Wee ngoma kweli?[emoji15]
Hapana jamani... Rumors za ngoma zilikuwa kwa Franco mpaka akatoa wimbo unaitwa Attention Na Sida .. Wakati huo ukimwi ndio umefika akatoa elimu kwa watu kuchonga sana hata mtu ukiumwa malaria kidogo watakusema una ukimwi.... Huko kafunguka mengi kuhusu ukimwi... Utafute

Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
 
Kwa franco ni kweli mkuu

Mi naangalia last interview yake brussels ameisha kinoma,yule alikuwa mzee wa totoz hilo halina ubishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…