Muziki kutoka nchini Zaire (sasa ni D.R.C) uliwezaje kutamalaki na kupendwa sana hapa Tanzania ilhali tumepakana na jirani wengine takribani 6?

Muziki kutoka nchini Zaire (sasa ni D.R.C) uliwezaje kutamalaki na kupendwa sana hapa Tanzania ilhali tumepakana na jirani wengine takribani 6?

Kinshasa makambo maana ake ni nini?

makambo maana yake “Tabu/matatizo” sasa hapo wanasema kinshasa makambo ngai mwana moto (kinshasa ina matatizo ,mimi mtoto wa mtu)
katika huo wimbo “Ngugi” Franco anawafananisha watu wa kinshasa na mbu wa jinsi wanavyoongea kwa kumsema anasema , hii ni True story maana watu wa kinshasa walimsema mno mara mchawi nk sasa akawa analalamika kwenye nyimbo zake nyingi mfano kuna moja inaitwa kimpa kisangameni anasema “swela obota ngai, ngai makila mabe mama” akimaanisha kwamba (swela umenizaa na damu mbaya)
 
Swela ni mamaake?

Huu wimbo wa kusangameni ninao kwenye gari yangu, franco alikuwa anafika balaa
 
Weeeee[emoji1][emoji1]

Nae mara ghafla akawa mariooo?[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1787]

Binadamu ni kiumbe anayependa kuona kasoro za wenzie kuliko zake
Yeap ndio maana ya vice versa... Anasema "Bapapa na miso ya soixante-dix ans bazuaka bana ya" Mbaba wa miaka 70 anadate na msichana wa miaka 18[emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
 
Hawa nao walikuwa mabest nashangaa koffi Olomide hakuhudhuria msiba wake[emoji15] urafiki huu

Galaxy mbona kuna yule mbibi amehojiwa juzi Kati anasema koffi ni kaka ake!

Ila mi naamini kwa sababu yule mbibi kafanana na yule baba ake koffi hivo hivoo,sema koffi hampendi yule mzee coz hajamlea, kakomaa na bake bandia wa paris[emoji1]
Koffi maisha mengi ni Paris aka Pahis... Mfananao kwenye vocals etc unachanganya sana watu.

Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
 
Kananipa michongo ya france sasa sijui katanichomoa[emoji15][emoji15][emoji848]

Kananikubali balaa tatizo kila kitu " I ll organize with my dad

Dad this dad that[emoji57][emoji57]

Hapo tu ndo kanaponiboa, mi nakapa michongo ya maana kenyewe kanaendekeza ujinga
Mtoto wa baba sana na ninapokuambia ni roho ya Koffi just know that... They're like twins

Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
 
KWANZA, kiilingala ni lugha inayovutia katika kuimba.

PILI, mkongo akiongea au kuimba kwa kutumia lugha ya kifaransa utanogewa anavyotamka maneno kwa lafudhi yao

TATU, waimbaji wa Zaire hawakuwa waimbaji tu ila walikuwa wapiga vyombo wazuri sana

NNE, wakongo wana asili ya sauti nzuri na wamewaambukiza pia watu wa kigoma, ukimsikiliza Ali Kiba, Diamond, Mwasiti, Upendo Nkone, Chege wamejaaliwa sauti nzuri

TANO,, Wakongo tangu kabla ya Uhuru wanapenda muziki haswaaa, yaani ni ufahari kwa mkongo kujipamba na kuimba hata asipohangaika na madini yao au Mbao inayovunwa na kuibiwa kila siku

Mkongo ajue kuimba vizuri umsifie halafu akishafika Parii (Paris) basi ameshafika hataki mengine.

Kwa mfano, ukisikiliza beat ya nyimbo zenye ujumbe za

Franco wa ''MAMOU'' na ''MARIO''

Tabuley wa ''MUZINA'' au

Madilu wa ''Ya Jean''

Kwani utataka hata kusikiliza kelele za wabongo?
Hilo zee lilikuwa linajua sana kuna mmoja unaitwa
Yajaa sijui ndo huo ya jean?

Naskia alikufa kwa ukimwi
 
Wee ngoma kweli?[emoji15]
Hapana jamani... Rumors za ngoma zilikuwa kwa Franco mpaka akatoa wimbo unaitwa Attention Na Sida .. Wakati huo ukimwi ndio umefika akatoa elimu kwa watu kuchonga sana hata mtu ukiumwa malaria kidogo watakusema una ukimwi.... Huko kafunguka mengi kuhusu ukimwi... Utafute

Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
 
Hapana jamani... Rumors za ngoma zilikuwa kwa Franco mpaka akatoa wimbo unaitwa Attention Na Sida .. Wakati huo ukimwi ndio umefika akatoa elimu kwa watu kuchonga sana hata mtu ukiumwa malaria kidogo watakusema una ukimwi.... Huko kafunguka mengi kuhusu ukimwi... Utafute

Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
Kwa franco ni kweli mkuu

Mi naangalia last interview yake brussels ameisha kinoma,yule alikuwa mzee wa totoz hilo halina ubishi
 
Back
Top Bottom