Muziki kutoka nchini Zaire (sasa ni D.R.C) uliwezaje kutamalaki na kupendwa sana hapa Tanzania ilhali tumepakana na jirani wengine takribani 6?

Wacongo wanalogana sana hasa mambo ya nyota

Imagine hii juzi Kati nimeenda kule kikazi, kitaa nikakutana na mmaza hivi ananiambia eti mume wangu ananiloga na anataka kuniua so anipe dawa ya kutegua tego...nikamwambia maza acha ungese basi[emoji848]
Hahaha inaonekana wanapenda uchawi sana
 
Umemsahau Yondo hata Faya Tessi lizuri sana sema lishazeeka ssa

Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
 
Linasemaga eti watanzania wanaume ni " machafu sana ( sio wachafu machafu[emoji23]

hahahaha[emoji1787] ila wadada pia wanasema hivyo so huenda ni kweli, juzi hapa kuna manzi ananilalamikia ex wake alikuwa ananuka mbupu
 
Hahaha inaonekana wanapenda uchawi sana
Balaaa, mara ananiambia anataka kuniuzia mvuto niuweke kwenye uchi duuuh....nikamwambia maza eeh kausha

Kule congo kuna vituko sana, ukisikia kupinda watu nenda kule utacheka hadi ufe
 
hahahaha[emoji1787] ila wadada pia wanasema hivyo so huenda ni kweli, juzi hapa kuna manzi ananilalamikia ex wake alikuwa ananuka mbupu
[emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1]wee
 
Heee yupo tena yuko fit kuliko wacongo wote wanamuziki, mzuri balaa na hajichubui anaishi London na mke wake
Kajitunza sana na anasa inaonekana..
Wale kina yondo sister wako wapi yule Dada itakuwa kashika waya maana dah
 
Utaskia "nna mashemeji kila mkoa"

Halafu eti usijichubue kama huna hela kama Mimi"

Jamaa anajikubali sana

[emoji23] mwenye mi sifa mwingine ni 50 cent aisee yule jamaa angekuwa mbongo angekuwa muhaya, anadai ana majiko zaidi ya mawili nyumbani kwake na huwa hapiki
 
watoto wa mjini darisalama wanasema jamaa ni kweli ni mchicha mwiba ila yeye anakana vikali hizi tuhuma
kanda Bongo man naikubali ngoma yake inaitwa nzambe nadhani
Wee linaliwa bana Mombasa[emoji848] watu wanajua! Na ndo maana kastick hapo humtoi

Bongo man mkali, siku hizi anashona nguo London
 
Balaaa, mara ananiambia anataka kuniuzia mvuto niuweke kwenye uchi duuuh....nikamwambia maza eeh kausha

Kule congo kuna vituko sana, ukisikia kupinda watu nenda kule utacheka hadi ufe
Duh makubwa hayo ,bila shaka atakuwa kaweka hiyo dawa na kwake hahahaj
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…