Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Hahaha inaonekana wanapenda uchawi sanaWacongo wanalogana sana hasa mambo ya nyota
Imagine hii juzi Kati nimeenda kule kikazi, kitaa nikakutana na mmaza hivi ananiambia eti mume wangu ananiloga na anataka kuniua so anipe dawa ya kutegua tego...nikamwambia maza acha ungese basi[emoji848]