Muziki kutoka nchini Zaire (sasa ni D.R.C) uliwezaje kutamalaki na kupendwa sana hapa Tanzania ilhali tumepakana na jirani wengine takribani 6?

Hatariii... Linasemaga lilimtransform Kanumba mpaka akawa anatupia pamba kinoma... Mcongo bora akose chakula na si mkorogo au pamba kali

Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
Hii nakubali, pale hoteli nilikuwa nalala Lubumbashi inaitwa Reca hotel ( kama kuna mtu alishawahi fika hapo )wale wacongo walinzi ni wanapiga pamba balaa na mikorogo na mashati ya kung'aa...imagine mlinzi wa hotel[emoji848][emoji15]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1487][emoji1487][emoji1487].... Wale si poa aiseee... Sema wanajikubali sana which is good sometimes

Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
 
Anasema sio wake!

Hivi kwanini waamerica hawataki kuoa? Men at 50's bado tu hawaii[emoji848][emoji15]

Huwa inanishangaza sana

ndio, dogo alikuwa mtundu na baba ake naye hakuwa anampenda hivyo akamkataa
wale jamaa hata sijui ni kwanini lakini hata hivo hawazeeki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…