Muziki kutoka nchini Zaire (sasa ni D.R.C) uliwezaje kutamalaki na kupendwa sana hapa Tanzania ilhali tumepakana na jirani wengine takribani 6?

Muziki kutoka nchini Zaire (sasa ni D.R.C) uliwezaje kutamalaki na kupendwa sana hapa Tanzania ilhali tumepakana na jirani wengine takribani 6?

jamaa wanajua kucheza na melodi na beats zao.

Kwa upande wa melodi yani zinavutia hata kama hujui kinachoimbwa

Kwa upande wa beats zinasisimua mwili kucheza.

Ni kama michael jackson tu, pini kama la smooth criminal nlikuwa sijui hata neno moja, ila melodi na biti zilinifanya nicheze kama chizi
 
"Usione vyaelea; vyaundwa". Hii ni sawasawa mtu useme kwa nini West Africa au Ulaya au Latin America vijana ni mahiri kucheza kabumbu. Vijana wanafunzwa vyuoni. Vipo vyuo vya michezo. Vipo vyuo vya muziki ambapo vijana wanakuzwa na kulelewa vipaji vyao. Serikali imewekeza huko. TZ, Je, imefanya uwekezaji wa kutosha huko? Au ni "kabhobho" tu kama kawaida yetu!
 
"Usione vyaelea; vyaundwa". Hii ni sawasawa mtu useme kwa nini West Africa au Ulaya au Latin America vijana ni mahiri kucheza kabumbu. Vijana wanafunzwa vyuoni. Vipo vyuo vya michezo. Vipo vyuo vya muziki ambapo vijana wanakuzwa na kulelewa vipaji vyao.
Wanamziki mashuhuri wa DRC wamepitia vyuo vya tasnia hiyo mkuu?...
 
Radha ya music wa Congo kuanzia sauti, had hara za vyombo vyao vya music vilikuwa vinavutia
 
Nikikaaga nasikiliza hizi Ngoma zao lakin najiuliza hizi ngoma zimeimbwa zamani sasa hawa maproducer wa kipindi hiko walitumia teknolojia gani ya beat kutengeneza beat kali kama zile na ukisikiliza kwa heads phone yaan zile effect zote unazisikia yan jamaaa wanaweza kama wameloga basi jamaaa wameweza kwa hilo maana kuna nyimbo zimepigwa kabla sijazaliwa lakin nimekuwa nikazipend tena wakati mwingine hata aliyeimba simfaham hata jina .
One way and aziza from bokilo,Extraball,fantastic from Alain,Matabisi,Billi from bongoman,Mbongwe from mayaula.
 
Jamaa waliimba bana na bado wameacha alama, warithi wao kina JB Mpiana, Fally, Ferre, Shikito na wengineo wanadhirisha hili.
 
Nafikiri ukiachilia umahiri wa kuimba kwa sauti nzuri zilizopangiliwa, upigaji na utumiaji wa vyombo vya muziki na hata kucheza, kilichofanya nyimbo zao kuenea duniani ni jinsi walivyoendelea katika kuzirekodi, kuzidurufu, na usambazaji wake. Pengine waligundua mapema studio za kurekodi na hatimaye kuzalisha kwa wingi iwe ni kaseti au sahani za muziki wao na kuzisambaza mpaka huku kwetu. Na zaidi wakaanza kufanya ziara kwa wapenzi wa muziki wao.
 
Aiseeee,nakumbuka hata uuzaji wa redio hawa jamaa walichangia sana huku kwetu,maaana tofauti na hawa radio cassete ilikuwa haina maaana
IMG_20201209_200848.jpg
 
Nafikiri ukiachilia umahiri wa kuimba kwa sauti nzuri zilizopangiliwa, upigaji na utumiaji wa vyombo vya muziki na hata kucheza, kilichofanya nyimbo zao kuenea duniani ni jinsi walivyoendelea katika kuzirekodi, kuzidurufu, na usambazaji wake.
Kuna nyimbo za Pepe Kalle ninazo katika laptop nikiwa ninazisikiliza haziishi ladha kabisa...
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Chanzo/siri ya mafanikio ni nini?
Nadhani kutawaliwa na ufaransa iliwapa exposure kubwa sana.Kama unavyowafahamu hawa ndugu zetu wa ufaransa walishajanjaruka toka kitambo,Linapokuja swala la fashion na lifestyle kwa ujumla. Ndipo walipotokea mapedeshee wa enzi hizo na muziki ukawa unawapa majina pamoja na safari za Zaire- France zikawa kawaida kwao wakirudi wanakuwa watoto wajanja wa mjini[emoji3]
 
Nadhani kutawaliwa na ufaransa iliwapa exposure kubwa sana.Kama unavyowafahamu hawa ndugu zetu wa ufaransa walishajanjaruka toka kitambo,Linapokuja swala la fashion na lifestyle kwa ujumla.
Kama issue ni "Francophone" mbona Rwanda na Burundi wao pia walipita katika mikono ya hao wazungumza Kifaransa lakini muziki wao haujatapakaa hapa Tanzania?...
 
Back
Top Bottom