Muziki kutoka nchini Zaire (sasa ni D.R.C) uliwezaje kutamalaki na kupendwa sana hapa Tanzania ilhali tumepakana na jirani wengine takribani 6?

Pepe Kale na Empire Bakuba yake anavitu vya moto visivyochosha kusikiliza, kuna ngoma yake ya Moyibi na ile nyingine aliimba Bileku Mpasi inaitwa Mississippi ni balaa sana.
 
Ila tuache utani bora ule raha hata ukifa angalau umefaidiii[emoji848][emoji848]

Yaaani Kuna ishu imetokea kitaa kwetu leo hii nimenyoosha mikono juu[emoji119][emoji119]

Kuna majamaa walikuwa poa tu eti leo mmoja kafa anajiandaa kwenda church mwingine alhamisi kazima job kwao, mwingine jumanne karushiwa baruti shingoni kwenye gari yake kule posta na watoto wa kihindi

Kibaya zaidi wote ni marafiki zangu kupita kiasi[emoji26][emoji26]

Huyu wa leo tumetoka kumsafirisha anasepa zake mbeya, kichwa kimedata balaa[emoji72][emoji72][emoji72]

Kumbe maisha yako hivi??? Asee nimeogopa life [emoji848][emoji848][emoji848][emoji26]

Huu mwaka unataka kukomba hata kile ambacho hakitakiwi kukombwa[emoji15], ndo kufunga mahesabu?[emoji848][emoji848]
 
Pepe Kale na Empire Bakuba yake anavitu vya moto visivyochosha kusikiliza, kuna ngoma yake ya Moyibi na ile nyingine aliimba Bileku Mpasi inaitwa Mississippi ni balaa sana.
Pepe kale kumbe nae yumo eeh

Kuna ule wimbo wa nina nauelewa sana
 
Is so scary dia... Our life is too short yaan too short... Kiufupi tunatembea na kifo mkononi... Kuiona kesho ni majaliwa.... Ukiwa hai fanya yaliyondani ya uwezo wako so you wont regret na zile ningejua ningejua... Life is for the living my dia... Enjoy huku ukitimiza wajibu wako.

Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
 
Ni balaaa asee[emoji26]

Mi nimeamua kumpenda Mungu zaidi, hilo tu
 
Kwahiyo kwa wiki moja wamekufa watu watatu unaowafahamu. Kweli lazima uogope aisee!
 
Kwahiyo kwa wiki moja wamekufa watu watatu unaowafahamu. Kweli lazima uogope aisee!
Yes mkuu
Siko sawa kabisa, nimelia wee hadi nikaambiwa we hebu kausha hii dunia ndivyo ilivyo [emoji848][emoji26]

Nikaamua kujilipua huku kwa chefkile na watu wangu wa nguvu

Kama kuna mtu unampenda mwambie unampenda unampenda mpaka aboreke!

Life's too short, huyu jamaa wa leo ( ambae ndo bestika) ana 28 age

Huyo wa alhamisi ana 27 na huyo wa mwisho ana 29[emoji26][emoji26][emoji26]

Imeniuma balaaa, yaaan[emoji26][emoji26]
 
Gone too soon. So sad aisee.. Na marehemu pia walikuwa wanafahamiana?
 
Wote majunk aisee[emoji24]

Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…