FENtastic
JF-Expert Member
- Aug 4, 2015
- 6,780
- 10,548
Your still up? [emoji4]No hauzi kitimoto hiyo ni steak ila matata mnoo
Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Your still up? [emoji4]No hauzi kitimoto hiyo ni steak ila matata mnoo
Yes dear...tuna live band ndo naserebuka hapa[emoji39][emoji39]
Ouw kumbe ningejua ningejisogeza dear.... Tungeserebuka mdo mdo na Fouta DjallonYes dear...tuna live band ndo naserebuka hapa[emoji39][emoji39]
Umejuaje [emoji16]Ouw kumbe ningejua ningejisogeza dear.... Tungeserebuka mdo mdo na Fouta Djallon
Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
Daaah godamn[emoji2].... Hapa inabidi tumkumbe mzee wetu Remi alisema maisha bila muziki yangekuwaje yaanUmejuaje [emoji16]
Tena sasa hivi kaweka papa mobimba eeh
Asee duniani kuna raha sana asee[emoji122][emoji122]
We acha tu tungepiga vinanda vya mdomo [emoji16]Daaah godamn[emoji2].... Hapa inabidi tumkumbe mzee wetu Remi alisema maisha bila muziki yangekuwaje yaan
Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
Yangetushinda tu kwa kweli... Kiufupi napenda mziki... Kuanzia utotoni... And I love good sound system[emoji4]We acha tu tungepiga vinanda vya mdomo [emoji16]
Pepe kale kumbe nae yumo eehPepe Kale na Empire Bakuba yake anavitu vya moto visivyochosha kusikiliza, kuna ngoma yake ya Moyibi na ile nyingine aliimba Bileku Mpasi inaitwa Mississippi ni balaa sana.
Is so scary dia... Our life is too short yaan too short... Kiufupi tunatembea na kifo mkononi... Kuiona kesho ni majaliwa.... Ukiwa hai fanya yaliyondani ya uwezo wako so you wont regret na zile ningejua ningejua... Life is for the living my dia... Enjoy huku ukitimiza wajibu wako.Ila tuache utani bora ule raha hata ukifa angalau umefaidiii[emoji848][emoji848]
Yaaani Kuna ishu imetokea kitaa kwetu leo hii nimenyoosha mikono juu[emoji119][emoji119]
Kuna majamaa walikuwa poa tu eti leo mmoja kafa anajiandaa kwenda church mwingine alhamisi kazima job kwao, mwingine jumanne karushiwa baruti shingoni kwenye gari yake kule posta na watoto wa kihindi
Kibaya zaidi wote ni marafiki zangu kupita kiasi[emoji26][emoji26]
Huyu wa leo tumetoka kumsafirisha anasepa zake mbeya, kichwa kimedata balaa[emoji72][emoji72][emoji72]
Kumbe maisha yako hivi??? Asee nimeogopa life [emoji848][emoji848][emoji848][emoji26]
Huu mwaka unataka kukomba hata kile ambacho hakitakiwi kukombwa[emoji15], ndo kufunga mahesabu?[emoji848][emoji848]
Ni balaaa asee[emoji26]Is so scary dia... Our life is too short yaan too short... Kiufupi tunatembea na kifo mkononi... Kuiona kesho ni majaliwa.... Ukiwa hai fanya yaliyondani ya uwezo wako so you wont regret na zile ningejua ningejua... Life is for the living my dia... Enjoy huku ukitimiza wajibu wako.
Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
Kwahiyo kwa wiki moja wamekufa watu watatu unaowafahamu. Kweli lazima uogope aisee!Ila tuache utani bora ule raha hata ukifa angalau umefaidiii[emoji848][emoji848]
Yaaani Kuna ishu imetokea kitaa kwetu leo hii nimenyoosha mikono juu[emoji119][emoji119]
Kuna majamaa walikuwa poa tu eti leo mmoja kafa anajiandaa kwenda church mwingine alhamisi kazima job kwao, mwingine jumanne karushiwa baruti shingoni kwenye gari yake kule posta na watoto wa kihindi
Kibaya zaidi wote ni marafiki zangu kupita kiasi[emoji26][emoji26]
Huyu wa leo tumetoka kumsafirisha anasepa zake mbeya, kichwa kimedata balaa[emoji72][emoji72][emoji72]
Kumbe maisha yako hivi??? Asee nimeogopa life [emoji848][emoji848][emoji848][emoji26]
Huu mwaka unataka kukomba hata kile ambacho hakitakiwi kukombwa[emoji15], ndo kufunga mahesabu?[emoji848][emoji848]
Kudos[emoji1490][emoji1490][emoji1490][emoji1490]... Let's say AmenNi balaaa asee[emoji26]
Mi nimeamua kumpenda Mungu zaidi, hilo tu
Hujawahi kusikiliza album zake eeh? Wamoto sana yule bonge. Wimbo gani huo unauongelea?Pepe kale kumbe nae yumo eeh
Kuna ule wimbo wa nina nauelewa sana
Yes mkuuKwahiyo kwa wiki moja wamekufa watu watatu unaowafahamu. Kweli lazima uogope aisee!
Unaitwa hivo hivo nina usake youtube uuone mkali balaaHujawahi kusikiliza album zake eeh? Wamoto sana yule bonge. Wimbo gani huo unauongelea?
Gone too soon. So sad aisee.. Na marehemu pia walikuwa wanafahamiana?Yes mkuu
Siko sawa kabisa, nimelia wee hadi nikaambiwa we hebu kausha hii dunia ndivyo ilivyo [emoji848][emoji26]
Nikaamua kujilipua huku kwa chefkile na watu wangu wa nguvu
Kama kuna mtu unampenda mwambie unampenda unampenda mpaka aboreke!
Life's too short, huyu jamaa wa leo ( ambae ndo bestika) ana 28 age
Huyo wa ijumaa ana 27 na huyo wa mwisho ana 29[emoji26][emoji26][emoji26]
Imeniuma balaaa, yaaan[emoji26][emoji26]
Wote majunk aisee[emoji24]Yes mkuu

Nazijua nyimbo nyingi sana za pepe Kale tatizo ni majina ya hizo nyimbo ndiyo kimbembe [emoji23]Unaitwa hivo hivo nina usake youtube uuone mkali balaa