Huyo wa job fununu eti kapigwa kipapai
Haha haha majina magumu balaaNazijua nyimbo nyingi sana za pepe Kale tatizo ni majina ya hizo nyimbo ndiyo kimbembe [emoji23]
Loooh aiseee... [emoji33][emoji33][emoji22]Huyo wa job fununu eti kapigwa kipapai
Huyu wa kuzima anajiandaa kwenda church ( rafiki yangu kuliko wote hao) eti alidhulumu mtu shamba kigamboni akalambwa albadili[emoji848][emoji848][emoji848][emoji26]
Huyo wa baruti eti aliwazingua watoto wa kihindi (alikwangua gari yao then akaleta ubabe) wakaamua kumlipua
Hizo zote ni fununu jamani si unajua kitaa, ila nimeogopa balaa, nimejikuta leo nimekuwa mtakatifu gabriel, natamani kumpigia kila mtu goti[emoji1751][emoji1751]
Serious mkuu sitanii[emoji848]
Lingala bwana, kwanza maneno yao mengine kwetu ni matusi.. [emoji4]Haha haha majina magumu balaa
[emoji1][emoji1][emoji1]kama yapi?Lingala bwana, kwanza maneno yao mengine kwetu ni matusi.. [emoji4]
Nina nyimbo zake nne... Mmoja nilifuta juzi[emoji23]Haha haha majina magumu balaa
Pole sana kuwapoteza rafiki zako.Ila tuache utani bora ule raha hata ukifa angalau umefaidiii[emoji848][emoji848]
Yaaani Kuna ishu imetokea kitaa kwetu leo hii nimenyoosha mikono juu[emoji119][emoji119]
Kuna majamaa walikuwa poa tu eti leo mmoja kafa anajiandaa kwenda church mwingine alhamisi kazima job kwao, mwingine jumanne karushiwa baruti shingoni kwenye gari yake kule posta na watoto wa kihindi
Kibaya zaidi wote ni marafiki zangu kupita kiasi[emoji26][emoji26]
Huyu wa leo tumetoka kumsafirisha anasepa zake mbeya, kichwa kimedata balaa[emoji72][emoji72][emoji72]
Kumbe maisha yako hivi??? Asee nimeogopa life [emoji848][emoji848][emoji848][emoji26]
Huu mwaka unataka kukomba hata kile ambacho hakitakiwi kukombwa[emoji15], ndo kufunga mahesabu?[emoji848][emoji848]
Duh... Vifo vyote ni vya mikono ya watu!Huyo wa job fununu eti kapigwa kipapai
Huyu wa kuzima anajiandaa kwenda church ( ndo rafiki yangu kuliko wote hao) eti alidhulumu mtu shamba kigamboni akalambwa albadili[emoji848][emoji848][emoji848][emoji26]
Huyo wa baruti eti aliwazingua watoto wa kihindi (alikwangua gari yao then akaleta ubabe) wakaamua kumlipua
Hizo zote ni fununu jamani si unajua kitaa, ila nimeogopa balaa, nimejikuta leo nimekuwa mtakatifu gabriel, natamani kumpigia kila mtu goti[emoji1751][emoji1751]
Amen mkuu!Pole sana kuwapoteza rafiki zako.
Wapumzike kwa amani.
Huu mwezi watu wameondoka wengi sana aisee.
Niandike hapa nile ban eeeh [emoji3][emoji1][emoji1][emoji1]kama yapi?
Watu kitaa ndo wanatoa hizi conspiraciesDuh... Vifo vyote ni vya mikono ya watu!
Mpaka nimetaman kukuambia at least we need to meet before crossing 2020...huu mwaka bomu sana... Wengi wamezama deara....sikiliza Sauti Sol Midnight train at least you can have some energySerious mkuu sitanii[emoji848]
Nikifanikiwa kuvuka salama huu mwaka sitausau mpaka siku nazima[emoji26] ...kifo nje nje yaaan
Weka nukta[emoji1][emoji1]Niandike hapa nile ban eeeh [emoji3]
JamaniMpaka nimetaman kukuambia at least we need to meet before crossing 2020...huu mwaka bomu sana... Wengi wamezama deara....sikiliza Sauti Sol Midnight train at least you can have some energy
Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
[emoji4][emoji4][emoji4]Jamani
Sante best yangu
Yes very close si unajua si vijana, mtaa mmoja yaan[emoji134][emoji134]Gone too soon. So sad aisee.. Na marehemu pia walikuwa wanafahamiana?
[emoji3]Weka nukta[emoji1][emoji1]
Best muoga mnoo[emoji1][emoji3]