Muziki kutoka nchini Zaire (sasa ni D.R.C) uliwezaje kutamalaki na kupendwa sana hapa Tanzania ilhali tumepakana na jirani wengine takribani 6?

Hahahhaa jamaa yuko vizuri sana aisee... Jamaa flan low key sana... Fatimata inachezeka kisalsa

Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app

ni kweli hata muonekano wake unaonesha ni low key, kuna album katoa na Franco inaitwa For ever ina ngoma kali nyingine wameimba kiswahili “kujulikana kuna mambo we luambo ukitembea peke yako watasema we ndio mbaya”
 
Hakuna Aminata kwenye top ten yako? [emoji848]

Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
 
Madilu multsystem

Mayaula mayoni

Nyiboma

Pepe Kalee.

Kanda Bongoman

Sam Mangwana.

Mbilia bel

Tshela mwana(Elizabeth Mordekai)

Franco lwambo Makiadi

Etn noma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…