Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Jamaa umeacha kabisa kutuletea zile story na visanga vya wakongo... [emoji4]
mkuu nitaleta, siku hizi nakuwa mvivu kuandika[emoji23] nahisi uzee unaniijia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa umeacha kabisa kutuletea zile story na visanga vya wakongo... [emoji4]
[emoji3] [emoji3]mjanja huko ni mwijaku tu , yule ni mjinga ila huwa anajua kuficha utahira wake, ukimkuta interview za kwenye Tv utadhani ni li mtu smart sana[emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3]mkuu nitaleta, siku hizi nakuwa mvivu kuandika[emoji23] nahisi uzee unaniijia
Hahahhaa jamaa yuko vizuri sana aisee... Jamaa flan low key sana... Fatimata inachezeka kisalsa
Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
sam mangwana fatimata ni ngoma kali sana, huyo jamaa inasemekana huwa hana makazi maalumu ni nomadic
Ce pas jolie, ce pas gentil, faccon comme ca
Yeah... Jamaa flan mpole mpole tuni kweli hata muonekano wake unaonesha ni low key, kuna album katoa na Franco inaitwa For ever ina ngoma kali nyingine wameimba kiswahili “kujulikana kuna mambo we luambo ukitembea peke yako watasema we ndio mbaya”
Kwangu mimi Kanda bongoman alitisha na vibao vyake vyote. Napenda sana masongi yake.Kanda Bongoman _ Zing Zong
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kabla hata ya kuoa jamaa net ilikuwa haisomi[emoji23][emoji23][emoji23].... Ssa hivi ndio kabisaaaa
Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
Hakuna Aminata kwenye top ten yako? [emoji848]Madiluu system
1. Ya jean
2. Faute ya visa
3. Si je se va ca
4. Feredwaaa
5. Blessure d' amour
6 .sansa ya papier
7. Jalousie ft Nyboma
8. Masola ft Koffi olomide
9. Nes nes ft Nyboma
10. Vice versa
11. Voisin
12. Riva
Sent from my Infinix HOT 4 using JamiiForums mobile app
Wewe ni Ke/Me?Kwangu mimi Kanda bongoman alitisha na vibao vyake vyote. Napenda sana masongi yake.
Ni Ny'boma Mwan'dido... Pia ungeanza na Franco mwamba ingependeza zaidi[emoji2]Madilu multsystem
Mayaula mayoni
Nyiboma
Pepe Kalee.
Kanda Bongoman
Sam Mangwana.
Mbilia bel
Tshela mwana(Elizabeth Mordekai)
Franco lwambo Makiadi
Etn noma sana
Hapana sijawaorodhesha kwa unguli wao nimetaja tu boss.Ni Ny'boma Mwan'dido... Pia ungeanza na Franco mwamba ingependeza zaidi[emoji2]
Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
Kwanini?
Umesomeka mkuu[emoji3577][emoji2535]Hapana sijawaorodhesha kwa unguli wao nimetaja tu boss.
Ungenijibu walau ungejua kwanini[emoji2]Kwanini?
Hebu bashiri tuone.
Kwa vile umeamua kunipa kazi ngoja tuone..Hebu bashiri tuone.