sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Wanamziki mashuhuri wa DRC wamepitia vyuo vya tasnia hiyo mkuu?..."Usione vyaelea; vyaundwa". Hii ni sawasawa mtu useme kwa nini West Africa au Ulaya au Latin America vijana ni mahiri kucheza kabumbu. Vijana wanafunzwa vyuoni. Vipo vyuo vya michezo. Vipo vyuo vya muziki ambapo vijana wanakuzwa na kulelewa vipaji vyao.
Waliwezaje kuzizidi hizi nchi zingine 7 jirani na Tanzania?...jamaa wanajua kucheza na melodi na beats zao.
Kwa upande wa melodi yani zinavutia hata kama hujui kinachoimbwa
Mbali na miziki mingine? Miziki ya nchi gani mkuu? Kuna muziki wa Zambia ama Malawi hapa Tanzania?...Hizi nyimbo za kikongo zinaburudisha zaidi mtu akilewa tofauti na miziki mingine
Malizia " Luanzo Luambo"Anaitwa Franco Makiadi...
Jamaa waliimba bana na bado wameacha alama, warithi wao kina JB Mpiana, Fally, Ferre, Shikito na wengineo wanadhirisha hili.Nikikaaga nasikiliza hizi Ngoma zao lakin najiuliza hizi ngoma zimeimbwa zamani sasa hawa maproducer wa kipindi hiko walitumia teknolojia gani ya beat kutengeneza beat kali kama zile na ukisikiliza kwa heads phone yaan zile effect zote unazisikia yan jamaaa wanaweza kama wameloga basi jamaaa wameweza kwa hilo maana kuna nyimbo zimepigwa kabla sijazaliwa lakin nimekuwa nikazipend tena wakati mwingine hata aliyeimba simfaham hata jina .
One way and aziza from bokilo,Extraball,fantastic from Alain,Matabisi,Billi from bongoman,Mbongwe from mayaula.
Jamaa wanapiga sana guitar...Aiseeee,nakumbuka hata uuzaji wa redio hawa jamaa walichangia sana huku kwetu
Kuna nyimbo za Pepe Kalle ninazo katika laptop nikiwa ninazisikiliza haziishi ladha kabisa...Nafikiri ukiachilia umahiri wa kuimba kwa sauti nzuri zilizopangiliwa, upigaji na utumiaji wa vyombo vya muziki na hata kucheza, kilichofanya nyimbo zao kuenea duniani ni jinsi walivyoendelea katika kuzirekodi, kuzidurufu, na usambazaji wake.
Ila huyo aliyelichonga hilo tikitimaji naye ni mtaalam haaswaaaaaaAiseeee,nakumbuka hata uuzaji wa redio hawa jamaa walichangia sana huku kwetu,maaana tofauti na hawa radio cassete ilikuwa haina maaanaView attachment 1645802
Chanzo/siri ya mafanikio ni nini?Nchi inayoongoza law muziki Africa ni Congo DRC
Nadhani kutawaliwa na ufaransa iliwapa exposure kubwa sana.Kama unavyowafahamu hawa ndugu zetu wa ufaransa walishajanjaruka toka kitambo,Linapokuja swala la fashion na lifestyle kwa ujumla. Ndipo walipotokea mapedeshee wa enzi hizo na muziki ukawa unawapa majina pamoja na safari za Zaire- France zikawa kawaida kwao wakirudi wanakuwa watoto wajanja wa mjini[emoji3]Chanzo/siri ya mafanikio ni nini?
Kama issue ni "Francophone" mbona Rwanda na Burundi wao pia walipita katika mikono ya hao wazungumza Kifaransa lakini muziki wao haujatapakaa hapa Tanzania?...Nadhani kutawaliwa na ufaransa iliwapa exposure kubwa sana.Kama unavyowafahamu hawa ndugu zetu wa ufaransa walishajanjaruka toka kitambo,Linapokuja swala la fashion na lifestyle kwa ujumla.