Muziki kutoka nchini Zaire (sasa ni D.R.C) uliwezaje kutamalaki na kupendwa sana hapa Tanzania ilhali tumepakana na jirani wengine takribani 6?

Muziki kutoka nchini Zaire (sasa ni D.R.C) uliwezaje kutamalaki na kupendwa sana hapa Tanzania ilhali tumepakana na jirani wengine takribani 6?

Mziki wao ni mzuri kiasi kwamba hata kama hufahamu kilingala ile lugha yao wanayo itumia ni lazima utafurahia tu na kama kungekuwa na Kombe la Dunia la Muziki basi DRC kila mara wangekuwa wanashinda wao tu na hilo Kombe kubaki huko huko kwao Milele.
Hakika DRC ndio mabingwa wa muziki hapa Afrika. Tanzania tunapaswa kujitahidi na kuja kuwa kama wao.
 
Hili swali ni gumu kidogo maana nakumbuka miaka ya 70 wakati nipo sec tulikuwa tunazisililiza sana
Pia kwenye radio walikuwa wanaweka sana labda wazaire wa kuja ndio walikuja na miziki yao
Halafu zamani Radio za Africa zilikuwa pia zinapayikana kwa urahisi ikiwa na maana tulikuwa more advanced kiliko sasa ( [emoji24])
Nakumbuka hata graduation zilikuwa bila miziki yao hapakaliki
Daa umenifanya nisilikilize Mbale na (Kiam)Memi pamoja na Kasongo maana zile bits sio za dunia hii
 
Mziki was Kongo bado unapendwa na upon juu zaidi ya harmony na mondi, mziki was bongo fleva hakuna wanachoimba cha maana.Nigeria Iipo juu kimziki kwa sababu wememodify ngoma zao na kufanya mziki wa kisasa.Mziki hujiuza wenyewe, ndio maana hats nachi za kiihinfi hupendwa TZ japi hatujui kihindi.
Ila Muziki wa Nigeria ni kama sampling ya muziki wa Congo.

e.g Sikiliza Chop Money ya P Square.
 
Edward Masengo na Mwenda John Bosco wa Bayeke ambao wana undugu fulani (cousins) ni wakongomani-sikilza ucharazaji wao wa box guitar. Hao ni kati ya generation ya kwanza ya wanamuziki toka Kongo kabla ya kuingia kizazi cha pili Grand Kalle, Grand Maitre Franco etc.
Mkuu, au wewe ndiye yule anayejiita Manji wa Muziki kule TBC FM (Radio Tanzania)?
 
Kulikuwa na nyimbo nyingi sana za mtindo wa twist za akina Fadhili William, Edward Masengo, Mwenda John Bosco, Haji Fundi Konde, Equator Sound Boys na wengine wengi.
Wakati huo na sisi mziki wetu ulikuwa unavuma sana huko Kenya ama la?
 
Back
Top Bottom