Masulupwete
JF-Expert Member
- Feb 15, 2012
- 2,366
- 2,424
Pepe alikuwa habari nyingine. Je umewahi kumsikia huyu mwamba?[emoji117][emoji117]Ninapenda sana nyimbo za Pepe Kalle na Empire Bakuba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pepe alikuwa habari nyingine. Je umewahi kumsikia huyu mwamba?[emoji117][emoji117]Ninapenda sana nyimbo za Pepe Kalle na Empire Bakuba
Pepe alikuwa habari nyingine. Je umewahi kumsikia huyu mwamba?[emoji117][emoji117]
Kwenye soccer upo sahihi, lakini kwanini wao na sio wengine kwa maana kila jambo lina sababu yake nyuma ya pazia mkuuUbora wake,ni sawa na kwenye Soka tu,mfano mtu yupo Tz ila anaipenda zaidi Brazil au Spain kuliko Harambee stars ambayo ni jirani.
1. Walijua mapema kwamba muziki ni kazi na siyo starehe tu.Muziki kutoka nchini Zaire (sasa ni D.R.C) uliwezaje kutamalaki na kupendwa sana hapa Tanzania ilhali tumepakana na jirani wengine takribani 6?
Swali zuri sana;Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu JamiiForums.
Ndugu zangu watanzania;
Muziki kutoka nchini Zaire (sasa ni D.R.C) uliwezaje kutamalaki na kupendwa sana hapa Tanzania ilhali tumepakana na jirani wengine takribani 6?
View attachment 1644761
Mbali na D.R.C nchi yetu ya Tanzania pia imepakana na jirani zake kama vile Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Zambia, Malawi na Msumbiji.
Ninakumbuka enzi zile nipo mtoto baba yangu alikuwa anawapenda sana wanamuziki kama akina M'bilia Bel, Madilu Système, Sam Mangwana, Pepe Kalle and Empire Bakuba, Diblo Dibala, Bozi Boziana pamoja na Awilo Longomba.
Kwanini ni muziki wa Zaire tu na sio hizo nchi zingine zilizopakana na Tanzania? Waliwezaje kuwa "the best"? Ipi ni siri ya mafanikio yao?
View attachment 1646545
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Sikiza kibao Cha Grande Kalle kiitwacho "Felicity" tangu miaka ya 1950 fan Anisha na chochote kati ya nchi hizo miaka yoteHabari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu JamiiForums.
Ndugu zangu watanzania;
Muziki kutoka nchini Zaire (sasa ni D.R.C) uliwezaje kutamalaki na kupendwa sana hapa Tanzania ilhali tumepakana na jirani wengine takribani 6?
View attachment 1644761
Mbali na D.R.C nchi yetu ya Tanzania pia imepakana na jirani zake kama vile Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Zambia, Malawi na Msumbiji.
Ninakumbuka enzi zile nipo mtoto baba yangu alikuwa anawapenda sana wanamuziki kama akina M'bilia Bel, Madilu Système, Sam Mangwana, Pepe Kalle and Empire Bakuba, Diblo Dibala, Bozi Boziana pamoja na Awilo Longomba.
Kwanini ni muziki wa Zaire tu na sio hizo nchi zingine zilizopakana na Tanzania? Waliwezaje kuwa "the best"? Ipi ni siri ya mafanikio yao?
View attachment 1646545
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Kulikuwa na nyimbo nyingi sana za mtindo wa twist za akina Fadhili William, Edward Masengo, Mwenda John Bosco, Haji Fundi Konde, Equator Sound Boys na wengine wengi.Mziki gani wa Kenya uliwahi kupendwa hapa Tanzania mkuu?...
Mipango ya muda mrefu,kujituma,kua na malengo,kipaji.....Waliwezaje kuwa bora kuzidi nchi zingine 7 za jirani?...
Tafuta wimbo wake unaitwa Azda, hutouchokaUyo Mzee kwenye picha alieshika gita ni noma.
Nyimbo zake kama zimetungwa leo,ni hazina kuu ya mziki wa dansi hasa wa kicongo.
Mimi pia nitautafuta. Franco was a geniusTafuta wimbo wake unaitwa Azda, hutouchoka
Sawa mkuuMipango ya muda mrefu,kujituma,kua na malengo,kipaji.....
Hard working beats talent when talent doesn't work hard. Ukibarikiwa jambo fulani (kipaji) kisha ukabweteka, kipaji hicho kinapoteaWazaire wamebarikiwa kwenye muziki nakucheza
Zamani wakati nikiwa bado ninakunywa beer nilikuwa nikilewa ninapenda sana kusikiliza mziki wa Franco na Mbilia Bel Nakei NairobiMiziki yao mpaka leo inapigwa kwenye bar za kwetu. Nafikiri Luna uhusiano wa pombe na miziki ya kongo
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Edward Masengo na Mwenda John Bosco wa Bayeke ambao wana undugu fulani (cousins) ni wakongomani-sikilza ucharazaji wao wa box guitar. Hao ni kati ya generation ya kwanza ya wanamuziki toka Kongo kabla ya kuingia kizazi cha pili Grand Kalle, Grand Maitre Franco etc.Kulikuwa na nyimbo nyingi sana za mtindo wa twist za akina Fadhili William, Edward Masengo, Mwenda John Bosco, Haji Fundi Konde, Equator Sound Boys na wengine wengi.
Upo vizuri sana mkuu. Hakika wewe sio rika langu...Edward Masengo na Mwenda John Bosco wa Bayeke ambao wana undugu fulani (cousins) ni wakongomani-sikilza ucharazaji wao wa box guitar.
Hahahahaaa, mkuu tangia nianze kutoa shikamoo hapa jamiiforums hakuna hata mtu mzima mmoja aliwahi kusema marahaba na mimi nikaona ngoja nisitishe salama ile kwa maana ninaweza kujikuta ninawazeesha watu ambao bado wanaupenda ujana...Naona siku hizi umekua huamkii tena
Baba yangu ana miaka 68 mwaka huu.Naona siku hizi umekua huamkii tena, ila kama baba’ko alipenda wasanii uliwataja hapo basi ni rika langu... nami niliwapenda sana enzi hizo.
Hivyo basi, nakusihi kijana uendelee kuniamkia.