Muziki kutoka nchini Zaire (sasa ni D.R.C) uliwezaje kutamalaki na kupendwa sana hapa Tanzania ilhali tumepakana na jirani wengine takribani 6?

Hizo za madilu zote ninazo mkuu... Ngoja nitafute hiyo colabo...

Nakulipa kwa

Faya Tess-Mongali
Reddy Amis-Rendez vous
Barbara Kanam-Lisanga ya ba mbanda
Bozi Boziana-Pere Noel de Confiance

Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
Hapo kwa babu bozzii ongezea hii kitu hatari weka mbali na watoto "Tembe na Tembe"
 
Miaka ya 1970 upo secondary? Shikamoo baba...

Marahaba
Heshima yako pia
Mkuu humu kuna wahenga wengi ambao tumevuka 50 zamani
Ila umenikumbusha mbali sana kwenye tasnia ya muziki
Nimejikuta nawakumbuka enzi hizo wale wakali kutoka Cameroon na Ghana
Osibisa ni WaGhana walionzisha bend yao London mwaka 1969 nimewasikiliza sana enzi hizo kina Teddy Osei, Sol Amarfio, Kofi Ayivor nk
Pia kulikuwa na (Late)Manu Dibango mkameroon
Alietuburudisha sana enzi hizo kwa kibao chake cha Soul Makossa 1972
Shukran umenirudisha mbali sana
 
Hizo za madilu zote ninazo mkuu... Ngoja nitafute hiyo colabo...

Nakulipa kwa

Faya Tess-Mongali
Reddy Amis-Rendez vous
Barbara Kanam-Lisanga ya ba mbanda
Bozi Boziana-Pere Noel de Confiance

Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
Kuna nyimbo aliimba kofii na marehem papa wemba ukiskiza jamaa wanavyopishanisha pumzi hadi raha. Hawa jamaa acha kabisa.

Kuna jamaa yangu yy anaamini kama uko kwa muumba kutakuwa na nafasi ya kujitetea basi hawa jamaa na wenzao wasauzi itabid waachiwe tu kwa jinsi yanavyojua kulalama kwa hisia kali ya kutoka ndani[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu umenikumbusha song makini kabisa Koffi analalamikia mapenzi unaitwa Choc hutojuta mkuu

Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
 
Ninyi ndio wahenga sasa, inashangaza vijana wenzangu waliowasikiliza TID na Juma Nature wanajiita wahenga
 
Ninyi ndio wahenga sasa, inashangaza vijana wenzangu waliowasikiliza TID na Juma Nature wanajiita wahenga

[emoji23][emoji23] Asante baba
Hakuna miziki mitamu kama zilipendwa
Old is gold bwana
 
Nilidhani ni mimi tu ninaempenda mopao... Kumbe tupo wengi
Kwanza avatar imenifurahisha... Kisha turudi kwa Papa Ngwasuma/Mobimba aka Mopao Mokonzi... Yaani lijitu likubwa na mapesa mengi sana.. Kwa ufupi ndiye mwanamuziki tajiri kuliko wote DRC na ana aka nyingi kama ifuatavyo... Quadra Kora Man, Grand Mopao Mokonzi, Patraõ, Le Rambo, Nkolo Lupemba, Mokolo Bilanga, Ackram Ojé, Légende,L'Homme Aux Mille Idées, Jeune Pato,Le Grand Ché, Légende, Milkshake[emoji2]

Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
 
70's uko sekondari?[emoji849][emoji849][emoji15][emoji15]
 
Unaitwa "Wake up

Ni noma na nusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…