Muziki kutoka nchini Zaire (sasa ni D.R.C) uliwezaje kutamalaki na kupendwa sana hapa Tanzania ilhali tumepakana na jirani wengine takribani 6?

Muziki kutoka nchini Zaire (sasa ni D.R.C) uliwezaje kutamalaki na kupendwa sana hapa Tanzania ilhali tumepakana na jirani wengine takribani 6?

Duuuh,Hawa si wanajichubua!

Last month nilikuwa Lubumbashi, wacongo wanapenda bata asee!

Taa zinaongozwa na skeleton, asubuhi asubuhi wako wako bar wanapiga ulabu huku wamepiga ming'ao ya kufa mtu, ila wanapenda watanzania Sana

Nilipata na mchepukoo[emoji23][emoji23][emoji23]( joke )

[emoji23] mchepuko akakupakia vumbi lao lile
Defao naye itakuwa starehe zimemponza maana sasa hana kitu
 
Pisi kali zilikuwa zinampa K buuuree bila hata shilingi[emoji848]

Ovyoo kabisa, kuambulia umeme na huku hujala hela zake kisa shobo dundoo

Hata koffi ana huu mchezo, k za bure[emoji1751]

unajua ukiwa mwanaume kukataa k ni ngumu sana, it takes a strong man kukataa K nzuri, kuna wanawake wazuri aisee jamani
nasikia koffi anakula cindy, ile nayo ni pisi sio mchezo
 
yupo anaishi Kenya, amejichubua balaa yani kawa kama mwanamke kwa kifupi ametisha sana na uzee umemuijia, siku hizi ana perform kwenye bar za kenya huko
Duh kweli amekwisha yaani anawaimbia nyang'au?

Kwahiyo Congo hapati airtime tena?
Kweli wakati ukuta.
Hivi why Congo man wanapenda kujichubua petit?
 
Mmmmh...nilikuwa najua nimeacha ila watu bado wanakomaa na mimi, ikabidi niukubali ukweli[emoji848]

basi utakuwa pisi kali[emoji16] ,kuna wanawake hamuzeeki kila umri ukienda mnazidi kuwa wazuri mfano kajala
 
Back
Top Bottom