Tumbo Tumbo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 1,278
- 1,553
Wakuu Habari Jumapili, Hivi Aliemwambia HamisaMobetto Kwamba Na Yeye Anajua Kuimba Ni NAni Au Kwa Kuwa Ana Sauti Ya Kuongea Na Watu Nae Akajua Ana Sauti Ya Kuimba?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaambiwa na Mange
[emoji23][emoji23][emoji23]
Bongo ukishakuwa star tu kuimba ni uamuzi wako.
😂😂😂Kaambiwa na Mange
hata mkuu wa wilaya alishawai kuimba na kuigiza bongo movie... maisha ni kujaribu jaribu vitu vingi.. muhimu hela ipatikane
Kazaa na public figures...Ndo nani?
anaimba vizuri sana rnbHata lile taira la kutoboa maskio na kuongea na Wanawake kwa sauti ya 3 likiwa limelegeza macho huku linalamba lamba mdomo kama nguruwe nalo ni pumbavu tu hakuna lolote(Hemedi)
Mbapostaajabu ya Hamisa... Em tizameni hawa mashoga....