Muziki wa Tanzania umeingiliwa sasa

Muziki wa Tanzania umeingiliwa sasa

Tumbo Tumbo

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2018
Posts
1,278
Reaction score
1,553
Wakuu Habari Jumapili, Hivi Aliemwambia HamisaMobetto Kwamba Na Yeye Anajua Kuimba Ni NAni Au Kwa Kuwa Ana Sauti Ya Kuongea Na Watu Nae Akajua Ana Sauti Ya Kuimba?
 
Hata lile taira la kutoboa maskio na kuongea na Wanawake kwa sauti ya 3 likiwa limelegeza macho huku linalamba lamba mdomo kama nguruwe nalo ni pumbavu tu hakuna lolote(Hemedi)
 
Anataka kumaintain level za udangaji,we si umeona juzi alikuwa ikulu.
 
Maisha magumu... Mvumilieni tu...

atakula nini!??
 
Mbapostaajabu ya Hamisa... Em tizameni hawa mashoga....
 
Back
Top Bottom