britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Nitawaletea mesej kama ilivyotumwa
''Huyu mzee sijui anataka kutupeleka wapi, sisi wabunge WA CCM tukipiga kelele tunaonywa,
Ishu ya Chato mnatake it as a joke lakin mambo haya si ya kukingia kifua, hata hao wanaojipendekeza kuanzisha anzisha mambo yasiyo na msingi, Suala la Uwanja haukukamilika inavyopaswa, Leo wanazindua Burigi, Kesho kutwa sijui nini, kwa taarifa tu ni kwamba bado kuna mengi sana, vipi ishu ya Kuhamisha na kufanya mnada wa mifugo wa Ukanda wote wa ziwa kuwa Geita Chato hamuoni?
Kuna Suala la Kuanza kwa MV chato Haitafika mwakani bila kuzinduliwa, Je wanachato wana mahitaji yao kamili mengine kama Madawa, na huduma za kijamii mpaka kuanzisha mbuga, Mara airport, Mara Meli, Kwanini chato?''
Mwisho wa kunukuu
Britanicca