Tetesi: MV CHATO Kuzinduliwa kabla ya mwaka 2020 Oktoba

Mkuu inakera kwa sababu ichi hii sehemu kibao watu wanateseka kwa kukosa maji safi na salama ya kunywa. Kwanini Londo la miradi isiyo na mashiko chato afu watu mnajitoa ufahamu ku support

Lazima baadhi wateseke ili wengi waendelee
 
Ondoa hofu, trust me, 2020 is almost near ! Watanzania wote ni sawa, wana haki sawa, na wanahitaji kunufaika na cake ya taifa kwa usawa.

Haya anayoyafanya asidhani watanzania wote wanamuunga mkono. Asifikiri pale chimwaga kuwa wote watakao piga kura kuwa wanatoka chato au kanda ya ziwa.

By your information, Pale chimwaga siku hiyo patachimbika and it will be a history....from Zero to Hero! Jamaa hatoamini atakachokiona na ndoto yake ya kutawala milele itaishia pale Chimwaga in July, 2020.
Bora unawaza hivyo na nadhani inakutolea msongo wa mawazo! Ila kiuhalisia hiyo haiwezekani.
 
Nitawaletea mesej kama ilivyotumwa

''Huyu mzee sijui anataka kutupeleka wapi, sisi wabunge WA CCM tukipiga kelele tunaonywa,
Ishu ya Chato mnatake it as a joke lakin mambo haya si ya kukingia kifua, hata hao wanaojipendekeza kuanzisha anzisha mambo yasiyo na msingi, Suala la Uwanja haukukamilika inavyopaswa, Leo wanazindua Burigi, Kesho kutwa sijui nini, kwa taarifa tu ni kwamba bado kuna mengi sana, vipi ishu ya Kuhamisha na kufanya mnada wa mifugo wa Ukanda wote wa ziwa kuwa Geita Chato hamuoni?
Kuna Suala la Kuanza kwa MV chato Haitafika mwakani bila kuzinduliwa, Je wanachato wana mahitaji yao kamili mengine kama Madawa, na huduma za kijamii mpaka kuanzisha mbuga, Mara airport, Mara Meli, Kwanini chato?''

Mwisho wa kunukuu

View attachment 1150003

Britanicca
Tunakoma!
 
Acheni wivu wa kike kwa Chato , hapo Chato watakaa watanzania, mchukieni Muhusika ila sio wana Chato, Chato ni Tanzania sio Noukchott
Hili Jambo huwa nalishangaa Sana watu wanapiga kelele km vile chato ni Rwanda. Chato ni Tanzania na yakipatikana maendeleo huko still ni maendeleo ya Tanzania. Maendeleo yakifanyika Dar hawahoji na Wala hawaoni ajabu,
Mkapa alijenga daraja la Rufiji watu walilia Ivyo ivyo Leo tunaona faida zake. Msoga imejengwa Leo tunaona faida zake. Na chato ni hivyo ivyo
 
Kumridhisha mwanadamu ni kazi sana hasa Watanzania
 
Acheni wivu wa kike kwa Chato , hapo Chato watakaa watanzania, mchukieni Muhusika ila sio wana Chato, Chato ni Tanzania sio Noukchott
Naunga mkono hoja , ila ningeshauri ikulu ya magogoni ihamishiwe chato ili kuharakisha mji huo kukua
 
Ondoa hofu, trust me, 2020 is almost near ! Watanzania wote ni sawa, wana haki sawa, na wanahitaji kunufaika na cake ya taifa kwa usawa.

Haya anayoyafanya asidhani watanzania wote wanamuunga mkono. Asifikiri pale chimwaga kuwa wote watakao piga kura kuwa wanatoka chato au kanda ya ziwa.

By your information, Pale chimwaga siku hiyo patachimbika and it will be a history....from Zero to Hero! Jamaa hatoamini atakachokiona na ndoto yake ya kutawala milele itaishia pale Chimwaga in July, 2020.
Mungu abariki hili jambo liwezekane!
 
chato mambo ni moto.....bado kutoboa mfereji mpana toka bahari ya hindi hadi CHATO ili iwe ni pwani na tujenge bandari ya kisasa kule na kivutio cha watalii toka ughaibuni.
 
Ondoa hofu, trust me, 2020 is almost near ! Watanzania wote ni sawa, wana haki sawa, na wanahitaji kunufaika na cake ya taifa kwa usawa.

Haya anayoyafanya asidhani watanzania wote wanamuunga mkono. Asifikiri pale chimwaga kuwa wote watakao piga kura kuwa wanatoka chato au kanda ya ziwa.

By your information, Pale chimwaga siku hiyo patachimbika and it will be a history....from Zero to Hero! Jamaa hatoamini atakachokiona na ndoto yake ya kutawala milele itaishia pale Chimwaga in July, 2020.
Unawajua vizuri CCM mkuu?
 
Nitawaletea mesej kama ilivyotumwa

''Huyu mzee sijui anataka kutupeleka wapi, sisi wabunge WA CCM tukipiga kelele tunaonywa,
Ishu ya Chato mnatake it as a joke lakin mambo haya si ya kukingia kifua, hata hao wanaojipendekeza kuanzisha anzisha mambo yasiyo na msingi, Suala la Uwanja haukukamilika inavyopaswa, Leo wanazindua Burigi, Kesho kutwa sijui nini, kwa taarifa tu ni kwamba bado kuna mengi sana, vipi ishu ya Kuhamisha na kufanya mnada wa mifugo wa Ukanda wote wa ziwa kuwa Geita Chato hamuoni?
Kuna Suala la Kuanza kwa MV chato Haitafika mwakani bila kuzinduliwa, Je wanachato wana mahitaji yao kamili mengine kama Madawa, na huduma za kijamii mpaka kuanzisha mbuga, Mara airport, Mara Meli, Kwanini chato?''

Mwisho wa kunukuu

View attachment 1150003

Britanicca
mbona kama umeitengeneza
 
Mbwa wewe ! Watanzania gani watakaa chato? Mtu Wa mtwara ataenda kukaa chato Kwa shughuli ipi?
Kwanini kila kitu chato na isiwe kigoma? Au lindi? Chato kuna kipi cha muhimu kuzidi mbeya au mtwara?
🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔
 
Back
Top Bottom