Tetesi: MV CHATO Kuzinduliwa kabla ya mwaka 2020 Oktoba

Tetesi: MV CHATO Kuzinduliwa kabla ya mwaka 2020 Oktoba

vipi ishu ya Kuhamisha na kufanya mnada wa mifugo wa Ukanda wote wa ziwa kuwa Geita Chato hamuoni?

Kama wewe ni mbunge kweli kwanini usemee mtandaoni!? Kwani yanatekelezw nje ya ilani yetu?
 
Ondoa hofu, trust me, 2020 is almost near ! Watanzania wote ni sawa, wana haki sawa, na wanahitaji kunufaika na cake ya taifa kwa usawa.

Haya anayoyafanya asidhani watanzania wote wanamuunga mkono. Asifikiri pale chimwaga kuwa wote watakao piga kura kuwa wanatoka chato au kanda ya ziwa.

By your information, Pale chimwaga siku hiyo patachimbika and it will be a history....from Zero to Hero! Jamaa hatoamini atakachokiona na ndoto yake ya kutawala milele itaishia pale Chimwaga in July, 2020.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ufipa mnalia kwa kua migombani kutahamia chato ....
 
Ondoa hofu, trust me, 2020 is almost near ! Watanzania wote ni sawa, wana haki sawa, na wanahitaji kunufaika na cake ya taifa kwa usawa.

Haya anayoyafanya asidhani watanzania wote wanamuunga mkono. Asifikiri pale chimwaga kuwa wote watakao piga kura kuwa wanatoka chato au kanda ya ziwa.

By your information, Pale chimwaga siku hiyo patachimbika and it will be a history....from Zero to Hero! Jamaa hatoamini atakachokiona na ndoto yake ya kutawala milele itaishia pale Chimwaga in July, 2020.
Kwani upo kamati gani mkuu?

Sie utaratibu wetu unajulikana kuwa ni [emoji647].
 
Nitawaletea mesej kama ilivyotumwa

''Huyu mzee sijui anataka kutupeleka wapi, sisi wabunge WA CCM tukipiga kelele tunaonywa,
Ishu ya Chato mnatake it as a joke lakin mambo haya si ya kukingia kifua, hata hao wanaojipendekeza kuanzisha anzisha mambo yasiyo na msingi, Suala la Uwanja haukukamilika inavyopaswa, Leo wanazindua Burigi, Kesho kutwa sijui nini, kwa taarifa tu ni kwamba bado kuna mengi sana, vipi ishu ya Kuhamisha na kufanya mnada wa mifugo wa Ukanda wote wa ziwa kuwa Geita Chato hamuoni?
Kuna Suala la Kuanza kwa MV chato Haitafika mwakani bila kuzinduliwa, Je wanachato wana mahitaji yao kamili mengine kama Madawa, na huduma za kijamii mpaka kuanzisha mbuga, Mara airport, Mara Meli, Kwanini chato?''

Mwisho wa kunukuu

View attachment 1150003

Britanicca
Tetesi ndio utuaminishe. Hovyo kabisa.
 
Tunawatakia kila la kheri kwenye hayo maamuzi yetu ndani ya chimwaga
Ondoa hofu, trust me, 2020 is almost near ! Watanzania wote ni sawa, wana haki sawa, na wanahitaji kunufaika na cake ya taifa kwa usawa.

Haya anayoyafanya asidhani watanzania wote wanamuunga mkono. Asifikiri pale chimwaga kuwa wote watakao piga kura kuwa wanatoka chato au kanda ya ziwa.

By your information, Pale chimwaga siku hiyo patachimbika and it will be a history....from Zero to Hero! Jamaa hatoamini atakachokiona na ndoto yake ya kutawala milele itaishia pale Chimwaga in July, 2020.
 
Wewe mwenyewe hapo chato una nini cha kujivunia zaidi ya kumiliki punda mmoja?
Kwani wewe unakatazwa kwenda kukaa Chato? Kama unataka maendeleo nenda Chato. Mbona Dar kuna makabila yote ya Tanzania na mengine. Kuliko kukalia wivu na shutuma hamia Chato ufaidi.
 
Tulisha yasema sana na siyo meli tu pia na bomberdier fikiria itatua mwanza itoke itue chato alafu iende bukoba ni zaidi ya dalal dala
Kwa hiyo Ile meli kubwa na mpya inayojengwa ziwa Victoria ambayo ni ya mwanza _ Bukoba itapitia chato?
Sasa hiyo si ni daladala sasa
 
Hili liwe fundisho kwa wahaya wajue kuwa kuichagua ccm watakuwa wanajichimbia kaburi kimaendeleo
Yaani watu wa Bukoba huu ni mwaka WA nne hawana Meli na kuna bandari mbili kule mtu unajengea Meli chato?
 
badala ya kujenga dodoma tunajenga chato😱😱😱😱😱😱😱
 
Back
Top Bottom