Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,395
- 25,049
Tuseme ameenOndoa hofu, trust me, 2020 is almost near ! Watanzania wote ni sawa, wana haki sawa, na wanahitaji kunufaika na cake ya taifa kwa usawa.
Haya anayoyafanya asidhani watanzania wote wanamuunga mkono. Asifikiri pale chimwaga kuwa wote watakao piga kura kuwa wanatoka chato au kanda ya ziwa.
By your information, Pale chimwaga siku hiyo patachimbika and it will be a history....from Zero to Hero! Jamaa hatoamini atakachokiona na ndoto yake ya kutawala milele itaishia pale Chimwaga in July, 2020.