Tetesi: MV CHATO Kuzinduliwa kabla ya mwaka 2020 Oktoba

Aliyejenga Wembley ni nani?, au UN makao makuu kuwa New York ni nani? Tuache ushamba
Heri ya ushamba kuliko ujinga! Kwahiyo Wembley au New York zilijengwa kwa matakwa ya mtu mmoja bila mpango wa kitaifa??
 
Hili Jambo huwa nalishangaa Sana watu wanapiga kelele km vile chato ni Rwanda. Chato ni Tanzania na yakipatikana maendeleo huko still ni maendeleo ya Tanzania. Maendeleo yakifanyika Dar hawahoji na Wala hawaoni ajabu,
Mkapa alijenga daraja la Rufiji watu walilia Ivyo ivyo Leo tunaona faida zake. Msoga imejengwa Leo tunaona faida zake. Na chato ni hivyo ivyo
Usidanganye. Watu hatukulia daraja la Rufiji lilipojengwa. Na Msoga haijajengwa kama Chato.
 
Ukisema hamkulia kipindi Cha daraja la Rufiji sio kweli. Na unadai msoga haijajengwa km chato, lakini si imejengwa? na haifanani naile msoga ya kabla yakujengwa?
 
Ni kweli hatukulia. Lile daraja kwanza limechelewa kujengwa. Safari ya kwenda kusini ilikuwa inachukua hata wiki kutokana na ubovu wa kipande kile cha barabara haswa masika. Mtu kuhamishiwa mikoa ya kusini ilionekana ni adhabu kutokana na adha ya usafiri. Hapa tunaongelea athari iliyopatikana kwa mikoa ya Lindi na Mtwara kulinganisha na kasehemu kamoja kanakoitwa Chato kanachopendelewa kupita kiasi. Kwani Msogwa kumejengwa nini cha maana kinacho stand out kwamba paonekane pamependelewa sana?
 
Mkuu Jambo moja unalopaswa kulijua na kulielewa ni kuwa Tanzania ni moja na watanzania niwamoja. Maendeleo yoyote yanayofanyika ndani ya Tanzania ni yawatanzania haijalishi ni mkoa au Kanda gani.
 
Nalijua sana. Kwanza kubali maelezo niliyokupa kabla. Sentensi yako ya mwisho ni uongo wa dhahiri. Usipojenga hospitali Tandahimba ukajenga Chato Tandahimba watakuwa wamepata huduma ya afya?
 
Nilikua ninataka kukujibu , ila umenisononesha kuniita Mbwa, Samahani kwa kukwaza haikua lengo langu.

Nakuomba ujiheshimu
Unastahili kuitwa mbwa kutokana na kutokujitambua kwako!.. Nchi hii ni kubwa na maeneo mengi yako nyuma ktk miundombinu na huduma za kijamii. Kuendelae kupeleka miradi chato kwa upendeleo wa kiasi hicho ni kutowatendea haki watanzania. Acha kushabikia upumbavu
 
Nalijua sana. Kwanza kubali maelezo niliyokupa kabla. Sentensi yako ya mwisho ni uongo wa dhahiri. Usipojenga hospitali Tandahimba ukajenga Chato Tandahimba watakuwa wamepata huduma ya afya?
Na je ukijenga tandahimba usipo Jenga chato je chato watakuwa wamepata huduma ya afya? Elewa kuwa kila Jambo na wakati wake. Chato wakishapata hiyo miundo mbinu wanakuwa tayari wamejitosheleza. Baada ya hapo inafuatia sehemu (mkoa au wilaya) nyingine. Mwisho wa siku tunakuwa natanzania nzima iliyozungukwa na miundo mbinu Bora.
 
A
Unastahili kuitwa mbwa kutokana na kutokujitambua kwako!.. Nchi hii ni kubwa na maeneo mengi yako nyuma ktk miundombinu na huduma za kijamii. Kuendelae kupeleka miradi chato kwa upendeleo wa kiasi hicho ni kutowatendea haki watanzania. Acha kushabikia upumbavu
Acha ujuha. Leo ndio umelijua hili? Miaka yote kila kitu Dar mbna hamkuongea? Arusha na Kilimanjaro wananini zaidi? Madam chato sio Somalia acha wajenge tu
 
Hata mimi nimeshangaaa kweli kwa nini kaiweka rehani hii namba ya mheshimiwa
Britannica mbona una expose source, unamuweka jamaa kwenye mazingira magumu ni rahisi sana ku trace waheshimiwa wenye namba zinazoishia na 23
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti CHATU
Uhuru Kenyatta anapaita Chatu! Chato napo ni Tanzania jamani,maendeleo yakiwa pale bado ni maendeleo ya Tanzania na sio Congo
 
A

Acha ujuha. Leo ndio umelijua hili? Miaka yote kila kitu Dar mbna hamkuongea? Arusha na Kilimanjaro wananini zaidi? Madam chato sio Somalia acha wajenge tu
Kwahiyo tulipe kisasi kwa kupeleka miradi yote chato?...Bado naamini kuwa watanzania tunatakiwa kuweka vipaumbele vyetu vya maendeleo na huduma za jamii kwa uwiano sawa bila upendeleo au ubaguzi. Tanzania ni yetu sote. Tusishabikie mambo ya hovyo yanapofanywa na viongozi wetu
 
Acheni wivu wa kike kwa Chato , hapo Chato watakaa watanzania, mchukieni Muhusika ila sio wana Chato, Chato ni Tanzania sio Noukchott
nzi wa kijani wewe.
yani unaweka traffick light wavuke punda, crdb wamefunga hakuna wateja, uwanja wa mpira aingie nani?kama dar kwenyewe siku hizi watu hawaingii uwanjani, haya hamisheni mlima kilimanjaro, serengeti, tarangire, kcmc hosptal ziende huko chato,
 
Back
Top Bottom