Tetesi: MV CHATO Kuzinduliwa kabla ya mwaka 2020 Oktoba

maendeleo hayana chama, ndio maana sisi wa kijani tunasema yana chama , sehemu walizotuchagua tunawapelekea manendeleo, ila pia yana ukabila, nitawajuza baadaae ka lugha nyepesi
 


Sawa Mama
 
Nalijua sana. Kwanza kubali maelezo niliyokupa kabla. Sentensi yako ya mwisho ni uongo wa dhahiri. Usipojenga hospitali Tandahimba ukajenga Chato Tandahimba watakuwa wamepata huduma ya afya?

kwa hiyo hata ukiniita mbwa Huko kote hospitali ndio zitajengwa
 
Nakubariana na maneno yako ya mwanzo kama ulivyo andika. Lakini pia nakuomba ili ujiridhishe maendeleo yanayo fanywa Chato ufanye utafiti Chato imeanzia wapi! ukipata historia ya Chato, utaunga mkono maendeleo ya sasa. Kwa ufupi Chato ilikuwa imeterekezwa na mkoa wa Kagera hivyo huduma nyingi hazikupatikana hapo mpaka uende Bukoba, na kwenda huko mpaka upite Biharamulo au urudi mpaka Geita (Nyuma) ili uweze kubahatisha usafiri kwenda kuhudumiwa Bukoba. Mpaka tunapojadili hapa kuna mafaili ya serikali ambayo yako Archive Bukoba Kagera na hayajarudishwa Geita. Hili lilikuwa ni shinikizo mojawapo la kutaka Chato na Geita ziwe Mkoa mpya.
Wakazi wa Chato waliteseka sana - inashangaza sana kuona wananchi waliofaidi keki ya taifa miaka mingi wanakasirika kuwa sasa hivi Chato wamepata jengo moja la CRDB, taa moja ya trafic barabarani, hoteli moja***, uwanja wa ndege, mbuga ya wanyama moja, shule moja, barabara ya lami moja, zahanati moja, uwanja utajengwa mmoja, Chuki hii lakini, kwanini? Kama ni sababu ya upinzani, kweli hapa utaabulia kura ngapi!
 
Nafikiri tusijikite tu kwa kufanya utafiti kuhusu Chato simply because Rais anatoka huko bali tujikite kufanya utafiti kwa Tanzania nzima ili tupate rationale ya why Chato na si sehemu ingine ya Tanzania. Sina chuki.
 
Usafirishaji wa bidhaa kwa njia ya barabara ni wa ghari.Kagera tunaomba Meli za Victoria na MV Umoja ziwe rehabilitated haraka zisaidie kupunguza bei za bidhaa .Wananchi wengi wa mkoa huu wanaumia.
 
mshamba kapewa rungu, maraisi wote wangefanya hivi ukabila ungeipita kenya.
wachagga wametengwa kuanzaia uongozi mpaka maendeleo sema tu hawa jamaa ni kama wa-israel wa tanzania, hata ufanye vipi Mungu yupo nao, endelkeeeni na ubaguzi.
 
maendeleo hayana chama, ndio maana sisi wa kijani tunasema yana chama , sehemu walizotuchagua tunawapelekea manendeleo, ila pia yana ukabila, nitawajuza baadaae ka lugha nyepesi
nadhani mnaelewa sasa nlichokisema kipinndi hicho kuhusu ukabila
 

Reminds me of the pot calling the kettle black!! Mkoa wa Kagera hasa manispaa ya Bukoba ina maendeleo gani ya maana, Mkoa mzima ulitelekezwa na Serikali tangu enzi za Nyerere mpaka leo, one gets the impression kwamba kuna agenda ya siri kuukomoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…