Mvua hizi ambazo zinanyesha kwa kuchelewa, zinafaa kupanda? TMA tusaidieni kama zitaendelea na kuwezesha kuvuna

Mvua hizi ambazo zinanyesha kwa kuchelewa, zinafaa kupanda? TMA tusaidieni kama zitaendelea na kuwezesha kuvuna

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Mvua inayesha sana leo na jana Tanga, Zimekuja very late nina wasiwasi zitakatika may be end of May na mazao kukauka

TMA, Je, mkulima anaweza kupanda.

Ushauri please
 
Hao mpaka iache kunyesha ndio watakuambia usipande maana mvua ni ndogo. Ndugu yangu jilipue tuu kupanda usiwategemee sana hao.
 
Mvua za Tanzania waulize wenyeji km wewe ni mgeni shambani

Kwa sasa Tanzania mvua hazivuki mwezi wa tano tabianchi imebadilika sana
 
Mvua za Tanzania waulize wenyeji km wewe ni mgeni shambani

Kwa sasa Tanzania mvua hazivuki mwezi wa tano tabianchi imebadilika sana
very correct! Itakata muda si mrefu
 
Mvua inayesha sana leo na jana Tanga, Zimekuja very late nina wasiwasi zitakatika may be end of May na mazao kukauka

TMA, Je, mkulima anaweza kupanda.

Ushauri please
Unasmart phone bado unasubili TMA tena ingia mwenyewe kwenye search unaweza kuona hadi lini zitakata ktk eneo ulipo..

Hii ni dunia ya tekinolojia mkononi mkuu.

Samaleko!
 
Amakweli tumepigwa wenzenu tunalilia mvua zikate mazao yamekomaa yanahalibika mvua zimeanza toka oct2022 nyie wengine ndio zinaanza? Sasa naanza kuelewa umuhimu wa katiba mpya
 
Mvua inayesha sana leo na jana Tanga, Zimekuja very late nina wasiwasi zitakatika may be end of May na mazao kukauka

TMA, Je, mkulima anaweza kupanda.

Ushauri please
Usithubutu....mtego huu!utakuja kulia.
 
Usiwategemee sana hao TMA watakuingiza chaka we jitoe muanga uje utupe Mrejesho😁
 
Back
Top Bottom