Uchaguzi 2020 Mvua iliwanufaisha Profesa Kitila na Dkt. Magufuli

Uchaguzi 2020 Mvua iliwanufaisha Profesa Kitila na Dkt. Magufuli

Dar population ni kubwa mikutano ya. Ccm huwa mikubwa kwani wako organized ukiita mkutano wengi huwa wanachama .hoja ni namna ya kupata kura za watu ambao wako neutral
 
Mvua imetumwa na Mabeberu kuthibitisha kuwa CCM imeshindwa kutengeneza miundombinu ya kisasa...

Kwaheri CCM.
 
Mvua imempa Ubunge Kitila kilaini kabisa
Kama Rais Magufuli ni pipa, basi Kitila ndiye mfuniko wake. Kama mvua isingenyesha Dar leo, huenda hili tusingeliona.
INAWEZEKANA, kwamba mvua hii ya leo, ndiyo imempa Ubunge Profesa Kitila Mkumbo.
Mbona nyie ni wasahaulifu hivyo? Kumbe tetemeko lile lililowaletea watu wa Bukoba maafa liliiletea pipa neema ya kutafuna pesa za rambi rambi?

Hivyo hivyo na mvua iliyowaletea wakazi wa Dar es Salaam maafa yawezekana itawaletea neema pipa na mfuniko wake...neema ya ushindi katika uchaguzi uligubikwa na rushwa, wizi na ubabe wa dola tarehe 28/10/2020? Twafwaaaa!
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Back
Top Bottom