chikutentema
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 7,694
- 4,954
OK kwani mi nawe tunaishi chumba kimoja?Umeuliza kuhusu kutazama picha ukiwa chumbani! Sio kulala
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OK kwani mi nawe tunaishi chumba kimoja?Umeuliza kuhusu kutazama picha ukiwa chumbani! Sio kulala
Kumbe tetemeko lile lililowaletea watu wa Bukoba maafa liliiletea pipa neema ya pesa za rambi rambi na fursa ya kuzitafuna! Hivyo hivyo na mvua iliyowaletea wakazi wa Dar es Salaam maafa yawezekana itawaletea neema pipa na mfuniko wake...neema ya ushindi katika uchaguzi utakaogubikwa na rushwa, wizi na ubabe wa dola tarehe 28/10/2020?Juma Katolila said:Kama Rais Magufuli ni pipa, basi Kitila ndiye mfuniko wake. Kama mvua isingenyesha Dar leo, huenda hili tusingeliona.
INAWEZEKANA, kwamba mvua hii ya leo, ndiyo imempa Ubunge Profesa Kitila Mkumbo.
Video pleaseWadau,
Leo mvua kubwa inanyesha Dar es Salaam. Hata hivyo, haikuwazuia wananchi wa majimbo ya Ubungo na Kibamba kwenda kumsikiliza Rais John Magufuli na wagombea Ubunge wa majimbo hayo kwenye Mkutano wa hadhara pale Mburahati...
Kitila bwana! Ulivyopitishwa kugombea Ubungo ukaona uje kama Katolila JF?Wadau,
Leo mvua kubwa inanyesha Dar es Salaam. Hata hivyo, haikuwazuia wananchi wa majimbo ya Ubungo na Kibamba kwenda kumsikiliza Rais John Magufuli na wagombea Ubunge wa majimbo hayo kwenye Mkutano wa hadhara pale Mburahati....
Dawa ilikuwa kususia mkutano, sasa mkutano umejaa kuliko yote iliyofanywa na wagombea wengine hapo Chato halafu mnaenda kurusha mawe… ujue sometimes CCM mnakuwa mabata sana?Ina maana hao watu tunaoambiwa wanafuata burudani ya muziki tu kwenye mikutano ya ccm nao walikubali kunyeshewa na mvua?
Au hao tunaoambiwa wanabebwa kwenye malori ndio walikubali mvua iwanyeshee?
Au hao ni wanafunzi tunaoambiwaga kuwa ndio hujaza mikutano ya ccm siku hizi?
Mie sina upumbavu wa kushabikia vyama vya siasa nina akili zangu timamu siwezi kushikiwa akili na hawa wanasiasa,ila nilikuwa nauliza tu hao waliyonyeshewa na mvua kwenye mkutano wa CCM ni akina nani?Dawa ilikuwa kususia mkutano, sasa mkutano umejaa kuliko yote iliyofanywa na wagombea wengine hapo Chato halafu mnaenda kurusha mawe… ujue sometimes CCM mnakuwa mabata sana?
Sent using Jamii Forums mobile app
Dawa ilikuwa kususia mkutano, sasa mkutano umejaa kuliko yote iliyofanywa na wagombea wengine hapo Chato halafu mnaenda kurusha mawe… ujue sometimes CCM mnakuwa mabata sana?Mie sina upumbavu wa kushabikia vyama vya siasa nina akili zangu timamu siwezi kushikiwa akili na hawa wanasiasa,ila nilikuwa nauliza tu hao waliyonyeshewa na mvua kwenye mkutano wa ccm ni akina nani? ni wale wanaofuata wasanii tu au ndio wanafunzi tunaoambiwa wanaletwa kwenye kujaza mikutano ya ccm au ndio wauza maduka waliyolazimishwa kufunga maduka na kwenda kwenye mkutano wa ccm?
Haya mambo ukisimuliwa unaweza ona NI uongo ila leo nimejionea hatujaenda kazini badala yake tumeambiwa tukampokee samia,kufika eneo la tukio na fuso mbili zimekuja zimejaza watuMie sina upumbavu wa kushabikia vyama vya siasa nina akili zangu timamu siwezi kushikiwa akili na hawa wanasiasa,ila nilikuwa nauliza tu hao waliyonyeshewa na mvua kwenye mkutano wa ccm ni akina nani? ni wale wanaofuata wasanii tu au ndio wanafunzi tunaoambiwa wanaletwa kwenye kujaza mikutano ya ccm au ndio wauza maduka waliyolazimishwa kufunga maduka na kwenda kwenye mkutano wa ccm?
muhimu mtangaza matokeo sio wapiga kura....tume, polisi na jeshi laooooooooooooooooooooooooo
mbona hicho kitu wapiga kura wa kawaida hawakijui?Fao la Kujitoa NSSF ni kaburi Kwa Magufuli na CCM yake....
Halafu hapo hapo anakuambia Maendeleo Hayana Vyama...!!!!Mjomba Magu katupa pole Ubungo kwa kutengwa kimaendeleo.Kumbe Ubungo imepuuzwa kwa miaka kibao sababu eti ya kuwa chini ya upinzani.Tokea enzi za Mkapa waliipuzia .Hata miundo mbinu tunayoiona ni kwasababu ni gateway ya kwenda pahala pengine.
Wale wa ukoo wako watajua wapi wakati aliyehudhuria shule ni wewe pekee. Usiwasemee nje ya ukoo wako maana hujatumwa.mbona hicho kitu wapiga kura wa kawaida hawakijui?
Kwa jinsi alivyo lala vizuri usingizi mnono kama vile yupo kwake kumbe yupo kwenye maendeleo ya vitu yeye ndo atakuwa wakwanza kuumpa magu 28/10 kura yake na sio huyo kibaraka wenu.